Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Sanaaaaaa. Tumeupiga mwingi. Haikuwa fainali ya kinyonge.
Ata yanga aliupiga mwingi Tena ugenini Algeria na akashinda sembuse Simba amesokomezwa nyumbani kwao🤣🤣🤣
 
Man of the match Budo kama Budo Mutale.
 
Acha excuse za kipuuzi. Uwanja umewashinda serikali na ujinga wao kwenye kuutunza. Ulitaka CAF waupeleke tu mchezo wa fainali sehemu ambayo hata nusu fainali ilishindwa chezeka hapo?

We jifariji na majoto wenzako wanaondoka na kombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…