Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ huwa hatokei kabisa huyo mrembo Kalpana atakuja kesho kutwa. Tumpe pole sana. Shemeji asitoke pembeni yake. Muda huu atakuwa analia.Bantu Lady we cheka tu mwana Yanga mwenzangu.
mdogo wako Kalpana leo kapotea haonekani huko aliko sijui ana hali gani π€£π€£ akirudi tumchokoze kidogo sio kwa kujisifu huko
Malipo hapahapa duniani, hata nyie mlishangilia 2023.Hata wewe
Another keyboard warrior.Mbwa ninyi ,mpo kushabikia upuuzi tu .Ndio maana ccm inaendelea kuongoza maiti hizi , mambo ya msingi hamna ila upuuzi sasa ,ndio trending headlines
Tumefika kibahati bahati tu na juhudi binafsi, bado timu haijawa ya uhakikaUlifikiri kwamba ingefika hapa?
Unaichukuliaje Yanga, walilukandamiza bao 5 ujueHivi nyie [emoji196] mngeweza kusukuma kandanda km hiyo mkiwa 9 au mna shangilia kwa kua hatujabeba ndoo ya kuwaringishia