Mh! sitaki tu mvunjia heshima...πKumbe hujiamini hivoooo mwanayanga Gani muogaa πππππππππ !!
Hurrrrraayyy Berkaneeeeeπ€π§‘π€π§‘π€π§‘π€π§‘π€πΊπΊπΊπΊπΊπͺπͺπͺπͺπͺ
Ufisadi pambana nao wewe!Taifa la maiti hili , hutasikia majitu yanapaza sauti kuhusu ufisadi , udikteta na matumizi mabovu ya madaraka nchi hii na ukandamizaji wa haki za binadamu unaofanywa na genge la maharamia ccm ,ila linapokuja suala la upuuzi wa mipira uchwara sasa na taarifa za umbea na ushenzi mwingine usio na maana sasa,midomo kama chiriku .
Fools
Sisikii hapa nipo natembea ila sisikii kelele wala kupayuka ila naona wekundu wanatembea vichwa chini π
Ndiyo sisi Berkane. Kombe tumenyanyua. Tuna raha, hapa tunashangilia kwenye ardhi yenu. Tulipeleke nyumbani Morocco, huko tumechinja ng'ombe 1000 za kuanzia. Karibuni sana Casablanca.Yanga wanavyoshangilia utafikiri wao ndio Berkane
Leo wamepewa kadri ya dhuluma zaoMchawi kafiwa
Wamejaa unafikiYanga wanavyoshangilia utafikiri wao ndio Berkane
πΊπΊπΊπΊπ§‘π€π§‘π€π§‘π€π§‘π§‘π§‘!Mh! sitaki tu mvunjia heshima...π
Namtamania kinyama...π€£πΊπΊπΊπΊπ§‘π€π§‘π€π§‘π€π§‘π§‘π§‘!
Nani?????Namtamania kinyama...π€£
Nini inasikitisha sasa kuna utulivuu kabisaaaaInasikitisha sana