Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Hili ni jukwaa la michezo chief...

Majukwaa ya kujadili 'sensitive issues' yapo na haya uliyotaja yanajadiliwa huko.
 

Wanasimba wenzangu tusijidanganye, Berkane sio Al Masry au Constantine​

Kwenye uzi wa mechi niliongea makolo watakandwa tatu bila ikawa mbili na nikasema watasema tutapindua meza na ndo imetokea , sasa nasema tena mechi ya mwisho itakuwa droo ya goli moja moja, nao makolo watarudi kwenye ndondo ligi kuu kuendelea kuhonga marefa na niwaambie tu mwaka huu hakuna...
 
Niliona matokeo nikawaambia ila makolo huwa wakishupaza shingo!
 
Sisi Makolo tumechoka sana.
Hata game yetu ya Singida hatutacheza.
Mmeona wenyewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…