Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Maneno ya mkosaji
 
Hii game ya mamelodi na pyramid Itakuwa ngumu sana
Refa huyu aliwahi kutukatalia lile goli la Aziz k kule kwa madiba aisee
Huyu Refa huwa anawekwa ktk match za kimkakati, hateuliwi kwa bahati mbayaa.

Wala sina nacho mdai, aendelee na hiyo kazi yake maalumu.
 
Refa wa kwao yule
Kabla kutua zanzibar alipita Morocco kakaa masaa manne...kaenda kufanyaje!?
Kuna video inasambaa kiongozi wa berkane yuko kwenye chumba cha marefa sijui alikuwa anafanya nini
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…