Sasa wee mashindano ya caf unakuja na hela ya madafu 🤣🤣🤣🤣 mpe refa offer he cant refuse mtie refa $50000Itakuwa alipewa pesa aisee
Sasa wee mashindano ya caf unakuja na hela ya madafu 🤣🤣🤣🤣 mpe refa offer he cant refuse mtie refa $50000Itakuwa alipewa pesa aisee
Pole kwa machungu 🤥😆Nambieeee
Umepoa kama ugali wa jana 😅Aaah wapiii...
Malengo yalikua nusu fainali mtani
😃😀😀😀😀Sasa wee mashindano ya caf unakuja na hela ya madafu 🤣🤣🤣🤣 mpe refa offer he cant refuse mtie refa $50000
Maneno ya mkosajiHaswaaaaa....
Asilimia 90 ya wana simba hata hatujaumia...labda kilichotuudhi ni yule refa mwenye sura ndefu kama kichwa cha treni ya mwendo kasi....angekua fair kombe lilikua letu...
Otherwise sie malengo tumevukaa tena tumevuka tenaà...
Na tupo top 4 hukooo juuu...
Mafanikio yetu kwny michezo ya CAF hakuna wa kutufananisha nae hapa Tanzania mpk sasa so far....
Simbaaaa nguvu mojaaaa
Ubaya ubwela
Kama hupendi hii comment kaaa nayo mbali sijakulazimisha kukubali..
Kwako cocastic waletee waleteee
Ww unaejua mpira kwa hiyo wawe wanaingia ndani ya pitch 6?Hujui mpira, timu inayokuwa pungufu ndio inacheza kwa kujituma, kuna mchezaji anakuwaga mzigo tu uwanjani.
Ubayaaaaa ubwelaaaaaUmeona ubaya ubwela unavyofanywa lakini
Huyu Refa huwa anawekwa ktk match za kimkakati, hateuliwi kwa bahati mbayaa.Hii game ya mamelodi na pyramid Itakuwa ngumu sana
Refa huyu aliwahi kutukatalia lile goli la Aziz k kule kwa madiba aisee
Kuna video inasambaa kiongozi wa berkane yuko kwenye chumba cha marefa sijui alikuwa anafanya niniRefa wa kwao yule
Kabla kutua zanzibar alipita Morocco kakaa masaa manne...kaenda kufanyaje!?
Yaniii my diyaaa ndo unaniona kama ugali wa jana kweli 😊Umepoa kama ugali wa jana 😅
mngeshinda tusingekaa humu 😄😄😄

NaaaaaaaaaaaaaaaamUbayaaaaaaaaaa ubwelaaaaaaaaa
🦁
😂😂😂😂😂Naaaaaaaaaaaaaaaam
Naona mlisafisha njia kweli😀😀 SimbaaKweli ila awasafishie njia na yanga one day
😀😀😃Naona mlisafisha njia kweli😀😀 Simbaa
Sasa napendekeza tuwe na mfumo wa kuwakagua watoa mada, unakuta mtu anakaa kwa dada ake analeta uzi unapigwa ban mapaka akapange hata corridoSimba hovyoo sana.
Wanaendekeza Propaganda , siasa na ushirikina tu