Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Baada ya kipindi cha kwanza kutakuwa na kilio kikali sana humu ndani kutoka kwa mashabiki wa Simba.
 
Mashabiki wa Simba tumepoa sana utadhani tumemwagiwa maji ya baridi.
 
Utopwix
 
Inaonekana pamefana sana huko New Amaani Complex.
 
Vile mashabiki wa simba wamesubiri kushangilia kombe la mo Ukwaju.😂😂
 
Nyuzi nzuri kama huu zimeunganishwa na Uzi wa hovyo kuwahi kutokea Kisa jamaa amewahi inadikitisha kwa kweli hakuna hata update yeyote mpaka muda huu Paw
Moderator
Active
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…