Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Je ni sahihi huku tulipofikia?

Mtu kiingilio chake kavaa jezi yake hajakubugudhi kwa namna yoyote ile kaja kuangalia mpira wewe unamfanyia hivi?
Teh teh 😃 😃 😃 kazi kweli kweli...

Ila huyo jamaa alikuwa anapima kina cha maji ya mto kwa kutumbukiza mguu.
 
Berkane ana goli zake zisizopungua mbili leo.
 
Simba tusipobeba hili kombe, basi huu mwaka hatutabeba kombe lolote lile.
 
Muda huu kwa mkapa pako saafi na hapana shida kabisa. Timu zetu zimekuwa dhaifu hata kwenye maamuzi.
Kwa mkapa simba angeshinda,ila huko zenji sidhani.
 
We mleta uzi mbona hauweki updates
 
Leo kutakuwa na vilio vikali mno na lawama nyingi kutoka kwa mashabiki wa Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…