permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
View attachment 1544625
View attachment 1544671
View attachment 1544820
Tupo Tayari
Hatimaye ile sikukuu kubwa la kisoka Africa inafika kileleni leo katika viwanja vikubwa viwili Benjamin Mkapa na Uwanja wa Uhuru.
Tutakuwa hapa kuwapa updates ya matukio na mechi kali kati ya Simba SC Vs Vital O
Onyo
Nitakuwa wa mwisho kutomuunga mkono Mo Dewji. Puuza Utopolo na wavimba macho wote
Na quality haiwezi kuwa nzuri coz walitumia projector na sehem yenyewe ni ya wazi.Bora wewe unakubali udhaifu, ukweli Ni kuwa Uhuru kilikuwa na mashabiki wasiopungua 15imebidi TV zizimwe na wamerudishiwa 2000 zao. inasemekana TV hazikuwa na sauti na pia hazikutoa kwaliti ya kutoaha
kuna mambo ni ngumu kuzuia,CCM naichukuia ila lazima nikubali kama chama tawala kina faida ya watu kujipendekeza kwakeHuu Ni upambuvu kuanza siasa kabla mechi haijaanza.
Mo umezingua na Huyo Zungu wako
naona wapambanaji wa Bilioni 20 za Mo mnajitokezaKila la heri Vital'O
Hatari mkuu, jamaa ila hatoguswa maana Azam wanajali uhuru. Ingekuwa Aipipii jamaa angekutana na barua getini baada ya mechiDuh!Hapo ajiandae kwa figisu.
Mkuu ulisikia?Hicho ndio kinachotupa furaha pekee kwingine ni maumivu tu.
Hajaomba wala nini, kaishia kukausha ila kajishtukia maana baada ya kutamka hivyo amekosa kabisa control ya utangazajiAtakuwa kakosea na akaomba kumradhi au ndiyo imetoka jumla..?