Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

Muwe mnaweka updates kinachoendelea uwanjani especially now that mechi imeanza.

Sio mmnakimbilia tu kuanzisha nyuzi hapa.

Baada ya kusema hayo updates wakuu
 
Watu polepole na wataelewa tu. Misemo mipya, nahau mpya, vishazi vipya, methali mpya n.k. Vyote vinambeba TAL kwa mahesabu ya kiithibati
 
Kuanzia mwakani Simba ifanye kuwa inaleta moja ya timu kubwa africa,ulaya hata marekani huko.
Hivi vitimu havitoi mileage ya kutosha. Chukua hata moja ya timu pale epl,spain,italy Hizi habari za next level zikae sawa zaidi.
Ni siku ya kibiashara zaidi, sio ya kifahari. Gharama za kuileta timu ya Ulaya sio ya kitoto, na haiwezi kurudishwa kwa kiingilio cetu cha buku tano au saba
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah kinogesho kinaenda kumletea matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…