Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Yaani hili jibu unalitoa wewe ulieanzisha uzi na umesema kabisa utatoa updates!!??sasa ni mapumziko,kumbuka na sisi ni watazamaji. tuache kutazama mpira kutuletee wewe updates,unatulipa?
😳😳
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hili jibu unalitoa wewe ulieanzisha uzi na umesema kabisa utatoa updates!!??sasa ni mapumziko,kumbuka na sisi ni watazamaji. tuache kutazama mpira kutuletee wewe updates,unatulipa?
Ile rufaa yao waliyo-postpone kwenda caf kumrudisha morrison wasije wakaianzisha upyaMorison akipachika goli lingine wallahi tena nakwambia bundi ataamka pale jangwani.
Wanaelewana utadhani wamecheza pamoja msimu mzima.Nimependa Josh na Ame wanavyobadilisha.. So far wamecheza vizuri
Kiungo mwenye macho ..Anatoa mipira mizuri.
Toka nje usome bangohivi hili ni jukwaa la michezo
Sio kila mtu anaweza kua kwenye tv sasa hivi mkuuMkuu, atazame azam tv bana. Aache ubahiri wa kulipia kifurushi
No mimi sio Yanga weee. Mmeniboa uzi unakuja hapa updates hamna. Yaani updates ni mpaka goli liingie. Pathetic.
Niko ista huko napata updates za maana.
Sasa huoni sio poa yaani jf kisimi oh sorry kisima cha news kinapitwa na insta kwa updates zinatokea bongo.Sasa si ukae huko huko insta au kiherehere chako kinakuleta hapa
Namuona Fraga anacheza namba 4 leoHivi hii combination ya leo ya simba si ni kama ile ya bayern dhidi ya barcelona?
Sasa huoni sio poa yaani jf kisimi oh sorry kisima cha news kinapitwa na insta kwa updates zinatokea bongo.
Kibiashara hailipi kwa klabu kuileta timu kama Sevilla hapa BongoMtazamo wangu upo kibiashara zaidi pia sio kifahari.
Huyu fagio lazima limpitie sidhani kama anamuda mrefuNamuona Fraga anacheza namba 4 leo