Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

Sasa mkuu JF wanaoleta updates ni kama wewe member ,kwahiyo we pia ungesaidia kuleta updates ndo mambo yanavyoenda
Dah haya bhana. Mi ngoja nisubiri updates za watu wengine na mimi ndio nilete updates hapa.
 
Bora wewe unakubali udhaifu, ukweli Ni kuwa Uhuru kilikuwa na mashabiki wasiopungua 15imebidi TV zizimwe na wamerudishiwa 2000 zao. inasemekana TV hazikuwa na sauti na pia hazikutoa kwaliti ya kutoaha

Mwanaume kuwa muongo kiasi hiki hata huoni aibu!
 
Hapana mkuu kutakuwa na balaa zito sana Kama huyu Bwalya kicheza 8 alafu Chama acheze 8 kama assistant forward, Luis acheze 7 na kushoto 11 acheze Morrison hapo hapo utaipenda Simba sasa
Yatakuwa ni matumizi mabaya ya rasilimali watu. Wawe wanapokezana kwa pair pair kila mechi
 
Let's picha za watu wakiwa Uhuru Kama zipo.Kubali tu ukweli sio kila mwaka Ni sawa.
Leta drone tu-snap hiyo picha maana kwa hii nyomi inatakiwa picha uchukuliwe kutoka juu
 
Sawa umesikika, Uhuru hakuna watu. Hebu sasa tuangalie burudani
Yaa burudani ipo, Kuna huyu Bwalya Ni fire, Kuna mugalu sijamwelewa, yule beki wa kesho Ni nyoka asiye na Simu. Lakini Simba hii bado haina tofauti na ya msimu mpya. Tunasubiri wakae pamoja ili timu iwe fire zaidi, lengo Ni kupunguza zile hamsa tukikutana na Wydad.
 
Back
Top Bottom