Nadhani kuna mambo hayapo sawa ndani ya Simba yasipowekwa sawa huu msimu hatuambulii chochote ktk makombe yote tutakayoshiriki.Timu imepoteza morali na hali ya kupambana,baada ya kumtoa manara nilijua uongozi umekua,niliamini hatuhitaji wapiga kelele tena leo tunaletewa wakina mwijaku [emoji24][emoji24],Kuna wachezaji niliamini tutawaacha au kutafuta replacement akiwepo Wawa,kagere,kapombe niliamini wamechoka.Benchi la ufundi liangalieni kama linatufaa au laah,ila msimu huu tusipochukua ubingwa tusishangae timu yetu morali haipo.