Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Barbra anatakiwa kutolea. Ameshindwa kuweka sahihi kwenye klabu. Kocha hana qualifications, Mhamasishaji kimeo. Huu ni uzembe anatakiwa kuwajibika yeye kwanza ndio kuleta nidhamu kwenye timu.
Nazani hujui unaongea nn, ila kwa kuwa ni jamii forum na kila mtu anahaki ya kutoa maoni anayojiskia basi tukuache, ila nakushauri achana na masuala ya mpila.
Mwisho naomba nkukumbushe huyu ndiye kocha aliyeshinda mechi 4 na kusare mechi 1 na kufungwa 1 latika group stage yenye timu kama All ahly,, Ell melleki, na As vita na aliongoza kundi
 
Hivi kuna watu kabisa wameumia kisa Simba kafungwa?
 
Aisee, mikia imelitia Taifa aibu! Hapo kwa Mkapa ni timu gani kati ya 4 zilizoshiriki mashindano ya CAF msimu huu imepigwa goli 3? Timu ina kipa na beki bora wa TFF!!!!
 
itakua laana ya manara inaitafuna simba, tuna team nzuri bt mpira hauonekani, dah! inauma sana.
 
Bora hata wacheze Onyango na Inonga- Wawa ameishachoka jamani mipira ya juu haruki- kule mbele ndio kabisa - Bocco kachoka- Dilunga kachoka- Kagere kachoka- Mugalu hakuna kitu- waliosajiriwa nao hakuna kitu- shabalala na Kapombe nao shida- kwa kweli uongozi kazi wanayo.
 
Nadhani kuna mambo hayapo sawa ndani ya Simba yasipowekwa sawa huu msimu hatuambulii chochote ktk makombe yote tutakayoshiriki.Timu imepoteza morali na hali ya kupambana,baada ya kumtoa manara nilijua uongozi umekua,niliamini hatuhitaji wapiga kelele tena leo tunaletewa wakina mwijaku [emoji24][emoji24],Kuna wachezaji niliamini tutawaacha au kutafuta replacement akiwepo Wawa,kagere,kapombe niliamini wamechoka.Benchi la ufundi liangalieni kama linatufaa au laah,ila msimu huu tusipochukua ubingwa tusishangae timu yetu morali haipo.
 
Back
Top Bottom