herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Nazani hujui unaongea nn, ila kwa kuwa ni jamii forum na kila mtu anahaki ya kutoa maoni anayojiskia basi tukuache, ila nakushauri achana na masuala ya mpila.Barbra anatakiwa kutolea. Ameshindwa kuweka sahihi kwenye klabu. Kocha hana qualifications, Mhamasishaji kimeo. Huu ni uzembe anatakiwa kuwajibika yeye kwanza ndio kuleta nidhamu kwenye timu.
Mwisho naomba nkukumbushe huyu ndiye kocha aliyeshinda mechi 4 na kusare mechi 1 na kufungwa 1 latika group stage yenye timu kama All ahly,, Ell melleki, na As vita na aliongoza kundi