Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Kuna siku nzuri sana hutokea mara moja kila baada ya miaka 5Man u naye keshafungwa 4 na ndo half time.
Shabiki wa simba ambaye ni man u usifuatilie matokeo kafanye mambo mengine usije kupata degedege.
Njoo unywe kinywaji utakacho hapa tani yako.Sasa kwanini wameruhusu goli? Simba wawe makini kuongeza mbili sio shida zinaweza kuja ghafla
Yaan Simba akifungwa na United lazima apigwe leo Maisha yamekuwa magumu dah!Man u naye keshafungwa 4 na ndo half time.
Shabiki wa simba ambaye ni man u usifuatilie matokeo kafanye mambo mengine usije ukapata degedege.
Sio Mwamedi na Mwijaku?Tukitolewa leo baadhi ya wachezaji wakatafute timu mpya
Pole sana. Wengi hatukutegemea kuwa matokeo yangekuwa ya kikatli kwetu kwa kiwango hiki, hasa baada ya matokeo mazuri ugenini. Tulishakuwa na uhakika kuwa tunaingia hatua ya makundi. Na si ajabu ukakuta mashabiki ndio tunaumia zaidi kuliko wachezaji.Najuta hata kuja kuangalia Mechi bora ningekaa nyumbani nipike, maumivu niliyonayo Mungu anajua.
Ndugu yangu TUJI...Hili ndilo tatizo la wachezaji na viongozi wa timu ku bet mechi wanazocheza. Hii mechi, uchunguzi ufanyike kwa makampuni ama maajenti wa biashara za kamali nchini. Betting is killing our football game.
Poleni watani zangu.
Ni kweliTimu mbovu hazipo mashindanoni, zilitolewa raundi ya awali
Dogo usimalize data rudisha simu kwa dingi baadae usiku ata facetime na ma mdogo
Gongo wazi huelewekiView attachment 1985533
Hii Pisi imejificha wapi?
Nimeheshimu hii komenti na sitasema sana kuhusu matokeo mabaya ya leo kwenu wana SimbaWanaSimba tuweni Watulivu, Mpira ndivyo ulivyo kwa maaana ya kuwa na Matokeo Katili zaidi ya Nyati mwenye jeraha. Tumefurahi pamoja hatuna budi kuhuzunika pamoja kwa utulivu. Tukubali utani kama ambavyo huwa tunatania wenzetu hatuna budi kupunguza munkari.
Poleni WanaMsimbazi.
Balaa tupu!Yaan Simba akifungwa na United lazima apigwe leo Maisha yamekuwa magumu dah!
Mtamkumbuka Hans Poppe
Kuwapata ni ngumu sana ila wangekuwepo huu msimu ulikuwa mzur sana kwa simba hata kuchukua CAF
Yaani demu wa boss awajibishwe?Barbra anatakiwa kutolea. Ameshindwa kuweka sahihi kwenye klabu. Kocha hana qualifications, Mhamasishaji kimeo. Huu ni uzembe anatakiwa kuwajibika yeye kwanza ndio kuleta nidhamu kwenye timu.
HahahaKuna siku nzuri sana hutokea mara moja kila baada ya miaka 5
Pole mkuuYaan Simba akifungwa na United lazima apigwe leo Maisha yamekuwa magumu dah!