Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Game ya Kaizer chiefs hawa mbwa waliuza kabisa south, Mwamedi bora aachane tu na hii timu wabongo hatubebeki.!
 
Mazembe ajafungwa nyumbani Ila katolewa kwa goli la ugenini. Ugenini 0-0 Lubumbashi 1-1. Simba licha ya kutolewa kwa goli la ugenini Ila imefungwa kwa Mkapa.
Nao tuliwafunga kwao.
2:0 Mazembe hajawahi kushinda dhidi ya Amazulu.
 
Wewe na soli ya kiatu mnakanyagwa
 
Hakuna kocha anayemfundisha mtu kucheza mpira.makocha wanatoa maelekezo yakutumia uwezo ulionao pamoja nakufundisha mbinu za mpira na displine.mpira unazaliwa nao.kama huna mguu wa mpira utakesha kufundishwa labda utaishia kwenye kujua danadana.
 
kwa namna wachezaji walivyocheza jana,ilitakiwa wapigwe risasi hadharani kabisa. Hivi hawajui kuna mashabiki ambao hawalipwi chochote na wamewekeza muda na upendo kwa timu?!
This is very disappointing ase.
Kwani simba ilishakua na mafanikio gani makubwa hili mashabiki waumie kiasi hicho chakutaka wachezaji wapigwe risasi.Tusijipaishe sana kuliko uhalisia.Safari ya simba kufikia mafanikio makubwa haiwezi kua kwa kipindi kifupi hivi.Yaani ndani ya miaka 4 uwe timu yakutisha,sio kirahisi kihivyo.Hizo hatua tulizokua tunafika nikwasababu Timu nyingi kubwa Afrika zimepoteza viwango na sisi kwasehemu kubwa tulikua tunakutana za timu za size yetu,kwahiyo tumekua tukienda kinamna namna hivyo hivyo.Chamsingi ni wahusika wajenge timu itakayokua na spirit ya ushindani.
 
Amesikika MSUKULE akiomba Mechi na Simba....! Aache Wanaume wapambane. Muda utafika.

Ni nani alimpatia jina La Msukule? Ni Jerry Muro au NUGAZ?
Yanga wanajipatia Majina Wenyewe alafu Yana click..!!
Jina jipya mjini ni Bata fc
 
Ukweli mchungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…