Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

Acha mitusi bure msiambiwe ukweli...[emoji1787] Kimeliwa kimeliwa tu ..[emoji23]
Kwendraaa huko, mfyuuuuh
Nitoleee ngenga zako hapaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kafara hiyo.
 
Yanga sio kabisa.
Baada ya wanaSimba kupokea kichapo kizito kutoka kwa Yanga siku ya jumapili, kocha mkuu wa Simba, Robertinho ametimuliwa ili kupoza hali ya mambo na kuficha matatizo. Robertinho ametolewa sadaka ili wengine wapone.

Sasa wanaSimba tumeamua kama mbwa iwe mbwa, siku nyingine zijazo tukipokea kichapo kingine chochote kizito kutoka kwa timu yoyote, tunaondoka na Mo. Hakuna kucheka cheka tena.

Simba nguvu moja.
 
Huu sasa ndio ujinga wa soka la Bongo. Kocha anafukuzwa kazi kwa kufungwa na mtani.
Mazuri yote yake hayana maana kama asipoweza kumfunga mtani wa timu.
Soka letu linakwama namna hii.
Kwa pira lile bora tu alipofukuzwa,ishu siyo kupigwa na mtani bali pira la hovyo sana lilikuwa linachezwa.
Yaani simba wa kupaki basi kila mechi?
Simba inakosa clean sheet kweli?

Thank you Robertinho, see you next time.
 
Tulitegemea, si mageni kwenye tasnia ya soka kwenye nchi zetu hizi.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…