Simuungi tena mkono Rais Samia kwa haya yanayoendelea na kadhia ya Mafuta

Mwana ccm mwenzangu vp?, wewe unaweza kuwa mkatoliki kuliko papa?!, haya yoote yanayofanyika kwenye nchi yetu hayakugusi wewe!?, hata kama huna gari,je wewe husafiri ukaona hata kupanda kwa nauri?!,. Daah ifikie kipindi tuacha unafiki,tujifunze kusema ukweli ili kuinusulu ccm na anguko kubwa linalokuja.kifupi ni kuwa mama samia hana uwezo wa kiuongozi au kiutawala,ccm tuna hazina kubwa ya watu wenye uwezo wa kuongoza nchi hii na mambo yakaenda.
 
Kwani umeambiwa kuwa sisi tunazalisha mafuta hapa nchini? Umeambiwa kuwa serikali imeficha mafuta? Kwani wewe huoni kazi kubwa inayofanywa na serikali yetu?
 
Urais hupangwa na Mungu!, ni Samia ndiye amepangiwa na YEYE kuendelea, then ni Samia!, umuunge mkono, usimuunge, upige kura usipige, rais wa 2025 ni Samia but only if Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
P
 
tangu asili, Mungu hakumuumba mwanamke amtawale mwanaume. tunachokiona dunia ya leo ni ukengeufu tu. ni uasi.



Jesus saves!
 
Tatizo wana JF Hamfiki ata robo ya idadi ya wananchi... Kumnyima mama kura hakusaidii... Dua ndio mkombozi pekee...
 
Mwisho ndio huu hakuna mwisho mwingine
 
Mwanamke hajawahi kuwa serious na maisha hata siku moja
 
CCM na uongozi wake ni takataka tu hii nchi ilishawashinda miaka mingi tu now wanatumia mabavu kuendelea kutawala
 
Ccm hatuitaji kura haramu za mashoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…