Sinza duka linafunguliwa saa 5, kuna T shirt 4, Jinsi 3 ila ndani full AC, Wifi, Dstv, Nje imepaki ndinga ya milioni 50+, wenzetu wanafanye?

Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.

Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza

Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.

Tufumbuane macho
Acha hizo, mimi ninauza T-sheti moja sh 250,000/= na jinzi moja sh 600,000/=, hizo kwa siku moja inatosha, na wanunuzi wangu ninawajua wewe ukija nakupotezea utaondoka mwenyewe.
Kukaa muda mrefu dukani ni umasikini na si kuuza sana.
 
utakatishaji wa pesa huo...ukija kuhojiwa unasema umeuza t-shirt mbili zenye thamani ya milioni 3 kumbe ushauza gramu kadhaa za pele.
 
Unasema misosi ya nguvu? Wasije kuwa wana stock ya sembe au dona, wanapika hapo
 
Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.

Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza

Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.

Tufumbuane macho
Tuonyeshe duka la namna hiyo kwanza,Tatizo lenu mnakuza vitu, wakati wenzenu wako serious wanafanya kweli, ShaurI zako
 
Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.

Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza

Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.

Tufumbuane macho
Waache na Mambo yao....usiyatamani shaur lako watu wapite na Beacon iyo
 
Back
Top Bottom