King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
The one and Only - Ngiri ngiri ngiri.Eric mandala, ...unga wa mahindi yaliyokobolewa
I know Pablo Noriega ,the real Noriega.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The one and Only - Ngiri ngiri ngiri.Eric mandala, ...unga wa mahindi yaliyokobolewa
Acha hizo, mimi ninauza T-sheti moja sh 250,000/= na jinzi moja sh 600,000/=, hizo kwa siku moja inatosha, na wanunuzi wangu ninawajua wewe ukija nakupotezea utaondoka mwenyewe.Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.
Tufumbuane macho
utakatishaji wa pesa huo...ukija kuhojiwa unasema umeuza t-shirt mbili zenye thamani ya milioni 3 kumbe ushauza gramu kadhaa za pele.Acha hizo, mimi ninauza T-sheti moja sh 250,000/= na jinzi moja sh 600,000/=, hizo kwa siku moja inatosha, na wanunuzi wangu ninawajua wewe ukija nakupotezea utaondoka mwenyewe.
Kukaa muda mrefu dukani ni umasikini na si kuuza sana.
Mimi ni mtu wa dini hata kanisani kiti changu ni cha mbele.utakatishaji wa pesa huo...ukija kuhojiwa unasema umeuza t-shirt mbili zenye thamani ya milioni 3 kumbe ushauza gramu kadhaa za pele.
Katika kesi ya kukamatwa skaba skuba alikutwa askofu mwenye makanisa lukuki akiwa ni nguli wa uingizaji na uuzaji wa madaww ya kulevyaMimi ni mtu wa dini hata kanisani kiti changu ni cha mbele.
Bado Adolf Muteba Chilawila na Chachoo Mbara.The one and Only - Ngiri ngiri ngiri.
I know Pablo Noriega ,the real Noriega.
Tuonyeshe duka la namna hiyo kwanza,Tatizo lenu mnakuza vitu, wakati wenzenu wako serious wanafanya kweli, ShaurI zakoKwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.
Tufumbuane macho
Waache na Mambo yao....usiyatamani shaur lako watu wapite na Beacon iyoKwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.
Tufumbuane macho
Ni kweliWatu wameshatengeneza mifereji ya hela zamani sana.
Hela huwa haitafutwi bali hela huwa inategwa
Dini hapa ndipo inaponiacha njia panda, sielewagi kabisa . . .Usitimani mali ya mtu mkuu, ndivyo maandiko yanavyosema. Usije ukatoa jicho bure tukakupoteza mazima kijana wetu.
Onho,kumbe!Watu wameshatengeneza mifereji ya hela zamani sana.
Hela huwa haitafutwi bali hela huwa inategwa