Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

Daniel mpaka majibu yake yalicheleweshwa ni kwamba alikuwa haombi katika roho?
 
HOJA inaeleweka, kuomba Kwa Roho ni FAIDA zaidi kuliko kuomba Kwa mwili.
umezungumzia habari ya kuzuia au kucheleweshwa kwa majibu na mfano mzuri wa aliyecheleweshewa majibu ni Daniel, ndio swali linakuja kwamba inamaana alikuwa haombi katika roho?
 
Mtumishi ubarikiwe.
Umetumia muda wako vizuri kuwafungua watu.
Wapo watu watasoma post yako na watajifunza kitu cha kuwafaidia
 
umezungumzia habari ya kuzuia au kucheleweshwa kwa majibu na mfano mzuri wa aliyecheleweshewa majibu ni Daniel, ndio swali linakuja kwamba inamaana alikuwa haombi katika roho?
Possibly.
 
Mafundisho manyonge
 
Yes alikuwaga na ROHO MAKATIFU Ila hakuwahi kuomba kwa KUNENA nyie mmeitoa wapi bhandugu?

Au ndio mashetani ya kigalatia yanapandishwa hivyo

Nauliza tu
Yesu alinena kwa lugha na ushahidi upo akipokuwa msalabani alitamka kwa kunena kwa lugha Ekoi Eloi lamasabakthani .Wengi walishindwa kuelewa anasema nini wengine.wakasema anamwita Eliya wengine wakasema anasema.Mungu wangu mbona umeiniacha hakuna aliyejua tafsiri ya alichoongea

Pili kuna kunena kwa lugha na kusoma na kuandika kwa Lugha.Daniel kwenye kitabu Cha Daniel alikuwa anajua kusoma na kuandika kwa Lugha.Maneno yalikuja yaneandikwa kwa lugha Mene Mene Tekeli na Pèresi Daniel aliwexa kuyasoma na kujua tafsiri ya kilichoandikwa akamtafsiria mfalme
 
Siku ya pentekoste mitume alinena kwa lugha gan? Walizitoa wapi hizo lugha?
Lugha ziko nyingi moja ni.lugha ya kuhubiria hiyo inatakiwa mtu ajue unachoongea .Siku ya Pentecoste lugha iliyoshuka pale ni ya kuhubiria watu
Lakina kuna nyingine ya Lugha ni mtu.binafsi anaongea diri zake au mambo yakebya rohoni na Mungu Yanatoka rohoni mwake yanaenda kwa Mungu.Hayo.ni.maombi binafsi ambayo hayahitaji mtu.mwingine are anaomba nini ni masuala binafsi sio mahubiri wala hayahusu mtu mwingine ni siri ya Mungu na anayeomba
 
Umeanza vizuri, umenukuu vifungu sahihi kuendana na utangulizi wako

Ila nachelea kusema umemaliza andiko huku umetuacha njia panda na ulichokikisidia sidhani kama umekiwasilisha


Kwa kifupi umezunguka mpaka umepotea mwenyewe

Mwisho kabisa ukitaka kutoa maarifa, usizunguke sana elezea kwa ufasaha ili ueleweke ili hata ikitokea mapokeona mitazamo ikitofautiana, tueleweshane kwa ajili ya kujenga zaidi.

Amani ya Bwana iwe nanyi
 
Kwa nchi yetu siyo kuombea tena! Huwa nawaza ni kumwomba Mungu aachilie mapigo 10 kama yale aliyoyachilia kwa Farao mpaka akawaachilia Wana wa Israel.
Umasikini hauwezi kuondoka kwa maombi peke yake!
 
Kuna madhehebu yanawafundisha waumini wao kwamba kama mtu haneni kwa Lugha basi hana Roho Mtakatifu. Na hili wamelikomalia kweli kweli kana kwamba kunena Kwa Lugha ndiyo ishara pekee. Matokeo yake wengine wanajaribiwa kuforce kutamka maneno yasiyoeleweka ili tu wajione kwamba wananena Kwa lugha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
WAKRISTO ni vichekesho sana 😁😁😁😁


Usibebe Imani bila AKILI unakuwa kama katuni..😔😔😔


(Eloi Eloi) maana yake ni MUNGU WANGU! MUNGU WANGU!

(Lama sabachtan) maana yake kwanini umeniacha.

Hiyo juu☝️ ni lugha ya ARAMIC lugha mama ya Yesu umesikia we POPOMA.....

Unasema eti KUNENA kwa LUGHA hivi wakeisto mnaakili nyie
 
Mkuu ni ukweli sana kuomba kuna majibu chanya. Pia ukiomba rohoni unaweza kuomba muda mrefu sana maana unakuwa rohoni.
 
Amina mtumishi,
Mafundisho Yana ujazo,na Mimi niwakumbushe tu watu wa Mungu,katika kunena kwao Kwa lugha kuambatane na Upendo ndani yao,maana upendo ni amri mpya na ni amri kuu...Maana neno la Mungu kwenye,kitabu Cha Wakoritho kinatukumbusha Hilo

1 Wakoritho 13:1
Nijaponena Kwa lugha,za wanadamu na za malaika kama sinao upendo Mimi si kitu kabisa.

Ni hayo tu.
Happy Easter to you na mwanangu wa kiroho Tlaatlaah
 
Asanti kwa neno la Baraka sana kwa watumishi wa Mungu, mama yangu Joannah

Ni hakika Bwana amefufuka kweli kweli hallelujah,
utukufu na ukuu, u-nayeye hata Milele,
Hallelujah ..
Na uwe na Pasaka ya Baraka sana Mama...
 
Asanti kwa neno la Baraka sana kwa watumishi wa Mungu, mama yangu Joannah

Ni hakika Bwana amefufuka kweli kweli hallelujah,
utukufu na ukuu, u-nayeye hata Milele,
Hallelujah ..
Na uwe na Pasaka ya Baraka sana Mama...
Amefufuka kwelikweli..
Hallelujah!
 
Nakuongezea Kingine Joannah
Kwa wale wakristo na wale wanaoendelea Kuamini..
Ongeza na hili Sio kuomba ,Kunena kwa lugha na Upendo tu..

Hata unapoomba kitu unatakiwa usiombe kwa Tamaa zako mwenyewe za Mwili au Za kiroho..

Yakobo 4:3

Hata mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya, ili mvitumie kwa tamaa zenu.
 
Sio.kweli.uongo.mtupu hilo nrno.linadumbus wanaxuoni hadi kesho hakuna mwenyenuhakika na hiyo tafsiri ya alichoongea Yesu

Katika Mathayo 27:46 (Marko 15:34), Yesu anasema “Eli, Eli, lama sabakthani (σαβαχθανί)”, ambayo inatafsiriwa “ Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? Kwa nini neno hili linalodaiwa kuwa la Kiaramu limetafsiriwa kwa Kigiriki kama σαβαχθανί, pamoja na Chi (χ), badala ya kama σαβακθανι na Kappa (κ)?

Yesu akinena kwa Lugha ndio maana hadi leo hakuna mwenye uhakika kusema Yesu aliongea nini pale.Kuna vitu aliongea kibinafsi yeye na Mungu tu ndio maana watu walihangaika kupata tafsiri ambao walikuwepo hapo hapo msalabani wayahudi wahua hixo lugha Wengine wakasema anamwita Eliya wengine wakasena anasema Mungu wangu mbona umeniacha.Hizo zilikuwa tafsiri za watu pale wakihangaika kivyao

Kuna ubishi mkubwa hadi.leo wa nini aliongea Yesu pale msalabani
 
Yaani wewe ufanye maovu yako usipewe hukumu eti kisa Yesu kafa Kwa ajili ya dhambi zako?,hizo ni ndoto za alinacha.

Acheni fiksi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…