Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Ilikuwa swala la muda tu, kwa utapeli alioufanya miaka ya karibuni ikiwepo kuwapiga pesa nyingi wanaojiita Great thinker wa JF
 
Utu uko wapi!?
Nani anamjua huyu mtu ?
Picha Iko wapi????
 
Ata we umeona eehh... yan ukionekana mtu wa influence kwa watu afu uonekane na mdomo kwa serikal wanakutia ndan

Alikua kauli zake anakwmby ye akiamka ata bila kujua kama ana d*ck au hana ye anasema No reform no election πŸ˜‚ Ukiichokoza serikal uwe na maficho
Huko twitani amekuwa akiidis serikali ya sa100, uhujumu uchumi ni funika-kombe tu.
 
Ishu kua against na serikali wala sio kuhujumu uchumi...tuliokua mtandao wa X hili watakubali.
ye si anatakaga influence na watu.. awe na kikund chake cha siasa , kwamba ata serikal haimshindi kwa IQ kubwaπŸ˜‚ serikal wanamuonesha kaz
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ sa umeongea nn apa umeanza vzur unamalizia na ujinga , hatujakuomba uuongelee umaskini ongelea mada
 
Huyu ndio shemeji yake Nifah , walisumbua sana JamiiForums enzi zao
 
No reform ya huko tweeter ndio ime mponza
 
Sasa huko ndo wanamwonyesha d*ck ni muhimu kwanza kabla ya yote....
 
Unapochoka na kulala Serikali hailali haichoki ipo kazini saa 24
 
Jina lake kamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…