Hivi Ile kesi iliishia wapi? Hata sikufuatilia wahusika wa mauaji. Zaidi nilisikia kwenye kundi la wauaji kulikuwa na Mzee wa kanisa Moja la Lutherani. Nilistaajabu Sana.
Nakuchekesha nini sasa!!!Ila dogo unanichekeshaga sana. Halafu nahis his wewe ni mkaldayo. Hivi iyo ni sura yako kwenye avatar
Na wapi nimesema aliuliwa kwa ajili ya usagaji wake, sio nyie wenye midomo mirefu kama chuchunge ndio mlikua mnakazia kuhusu usagaji wake?Haku uawa kwa sababu ya usagaji wake kwasababu hata huyo shetani aliye kuwa afanya naye huo upumbavu naye amekamatwa na kuunganishwa kwenye miongoni mwa wahusika wa mauaji kwa hiyo hapo ishu wenda ni kuhusu mali.
Unacho takiwa kujua ni kuwa kufanya usagaji au ushoga ni laana unatakiwa kuacha na utubu kwa muumba wako, mwenyezi mungu hakuwa mjinga kuumba mwanamke na mwanaume.
Narudia tena Mungu hakuwa mjinga kuumba mwanamke na mwanaume.
Narudia tena Mungu hakuwa mjinga kuumba mwanamke na mwanaume.
Pamoja na hayo, usagaji ni laana. Mungu hadhihakiwi na wala sio mjinga kuumba wanawake na wanaume. Tubu dhambi ya usagaji, mrejee Mola naye atakusamehe.Waje na humu jf kuna walioshangilia kweli ukute ni ndugu wa hiyo familia hapo juu wakidhani mkono wa serikali ni mfupi,
Natamani Lemutuz angekua hai aone hao wauaji aliokua anawashangilia kwa kumuua msagaji wanavyopigwa mvua ya maisha,
Na hii iwe fundisho kwa wajinga wote hakuna aliye juu ya sheria, ukikoswa na sheria ya Dunia basi Mungu mwenyewe atakuadhibu kwa kujipa majukumu yasiyokua yako (ref, kwa Lemutuz hakuchukua hata mwezi)
Hongera jeshi letu la polisi, hongera serikali ya Mama Samia, naona hata humu nyuzi za Ushoga zimeisha kabisa watu wameufyata kama Mbwa kaona Chatu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ficha upumbavu wako wakati mwingine. Sio kila kitu siasaSasa mbona polisi inashindwa kuwakamata waliompiga Lissu risasi mchana kweupe ndani ya majengo ya serikali yanayolindwa na polisi?
"He passed away"🤦🤦🤦🤦🤦mabebari bwana Wana mambo!Na GGM hii kesi wataisimamia ipasavyo. Wanaamini kwa haki za binadamu na ndiyo maana kwenye tangazo la kifo walitumia pronoun "He" na siyo "She".
Hapana ana kipochi manyonyaa tuuuAlikuwa na vyote mdudu na kipochi manyoya. I mean shemale?
DuhhhhHivi Ile kesi iliishia wapi? Hata sikufuatilia wahusika wa mauaji. Zaidi nilisikia kwenye kundi la wauaji kulikuwa na Mzee wa kanisa Moja la Lutherani. Nilistaajabu Sana.
Hahaha...wao wakiona hawakuelewi wanakuuliza km ni jinsia Gani ,me or ke!!"He passed away"[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751]mabebari bwana Wana mambo!
Kuna form zinaulizaHahaha...wao wakiona hawakuelewi wanakuuliza km ni jinsia Gani ,me or ke!!
Wanaamini zaidi kwenye uhuru WA kibinadamu
Sijui kwann waliipeleka mahakama hiyo wakati mahakama yenye uwezo ipo.....haya mambo huwa yanashangaza sanaHaya mambo ya kusema mahakamanhaina uwezo wa kusikiliza wakati wameshasikikiza tayari yanakera, pandisheni vyeo hizo mahakama ziwe na uwezo
Kwani alichohoji ni siasa?Ficha upumbavu wako wakati mwingine. Sio kila kitu siasa
Ukitubu zako inatosha acha kiherehere kwenye maisha ya wengine.Pamoja na hayo, usagaji ni laana. Mungu hadhihakiwi na wala sio mjinga kuumba wanawake na wanaume. Tubu dhambi ya usagaji, mrejee Mola naye atakusamehe.
Watu wakishakuwa wengi kwenye tukio lazima mnadakwe tuBado yule dogo wa bank aliyechomwa moto kibaha naona watu hawajadakwa hawa wazembe wamedakwa fasta
Mkewe ni yupi hapo?aliejiua ni yupi?link ya hiyo story ya kujiua?Hii ndio Habari sasa.
Ndugu watatu wa familia moja watakaa jela na pengine mauti yakawakuta huko kabla hata ya hukumu.
Bado ukifikiria vizur wanaweza pigwa kitanzi... na maisha yakaishia hapo.
majuto mjukuu.
Ubaya una kwao.
Kuna Uzi wake humu tuusome ????Iliisha watuhumiwa nane akiwemo huyo mzee wa Kanisa walihukumiwa kunyongwa Hadi kufa. Nadhani wamekata rufaa. Ukifuatilia hiyo kesi utagundua Tanzania bado ina wapelelezi waliobobea, maana kila mtuhumiwa alikuwa na sehemu yake kwenye mauaji.
Ongezea yule dada wa benki aliuwawaKesi ya mume kumchoma mke na gunia la mkaa.
Kesi ya dada yake Msuya ile ya kigamboni.
Kesi hii ya Milembe.
Natamani nizisome step by step lkn kwa Tz mmmhh.