Sitarajii Polepole kuapishwa kesho, ukibisha ungana na timu wahuni

Atamuenzi akiwa na njaa ?
 

KWA HIYO MTOA POSTI UNATAKA AMUONYESHE RAIS KIBURI, ATAKAPO FANYA HIVYO ATAJIMALIZA MA ZIMA.
Note my words.
 
Kumbuka bado siku mbili itimie mwaka tangu President jpm alipo fariki point yangu ipo hapo nahisi utaelewa.
 
Mfano akikataa kuapishwa ubalozi wake wa kuteuliwa unaweza kutenguliwa??

Dah! Ubalozi malawi🤣🤣 akufukuzae hakuambiii....

Polepele kazi kwako
 
Kwenye swala la uapisho nafasi nyeti huwa wanafanya vetting …Nadhani polepole alikua anajua kabla yetu unless otherwise
 
haita tafsiriwa kuwa umedharau mamlaka ya rais na uteuzi? Ukaadhibiwa kwa hilo?
ccm uanachama wake sio shuruti anaweza akajivua uanachama kisha ndio akakataa au akagomea uapisho. Anaishi kwa kujiandaa na mbingu kuliko ufalme wa dunia. Mark my words, hata akiapa atajiuzulu kabla ya kwenda Malawi amini hilo polepole haendi Malawi. Wamemfanyia kebehi ya makusudi na yeye anajua na hakubali huo ujinga wao.
 
Polepole angeondoa mambo aliyofanya kwa mwendazake ni kiongozi mzuri lakini sasa yale aliyoyafanya enzi zile za V8 acha apate tu anastahili haya haitaji huruma
 
Kwenye swala la uapisho nafasi nyeti huwa wanafanya vetting …Nadhani polepole alikua anajua kabla yetu unless otherwise
Uteuzi huu ni kebehi na dharau zenye hila fulani ambazo zitaenda kufuatana
 
Huuu Uzi utaufuta kabla ya kuteuliwa kaitwa na kasaini agreement uteuzi haufanyikagi kwa kukurupuka Kila kiutu kinakuwa kimeandaliwa
 
Ila wafuasi wa jiwe mnaongoza kwa roho mbaya sana.

Mna ubinafsi mwingi, ukabila na ujiwe kwa sana.

Halafu hamueleweki mnataka nini haswa
 
Huuu Uzi utaufuta kabla ya kuteuliwa kaitwa na kasaini agreement uteuzi haufanyikagi kwa kukurupuka Kila kiutu kinakuwa kimeandaliwa
hizi zama za upupu lolote vuluvululu tu hii yake ni mkomoo au mkomoeni
 
Amepangiwa malawi wakati huko huko kuna balozi mwingine ina maana atakaa benchi akisubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…