Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

Wanasiasa ni watu ambao wanatafuta masilahi binafsi kupitia siasa. Kwa kifupi Lissu ni mchumia tumbo aliyechangamka halafu anadeka sana kama mtoto. Hajawahi kujitolea kwa kipato chake kusaidia watu halafu leo eti anataka watu masikini ndo wamchangie kununua gari 😭😭
 
Bima gani inakuwa valid kwa miaka 7 ? Hiyo gari ipo kituoni kuanzia mwaka 2017 September , ina maanisha bima yake ilikwisha siku nyingi sana
Huna akili, mwaka uliotokea ajari gari lilikuwa na bima valid.

Tundu Lisu ni public figure ni bingwa wa sheria na ana marafiki wanasheria wenzake waliobobea kwenye angle hiyo ya insurance na matatizo aliyopitia yanajurikana nchi nzima na ana vyeti vya hospitali na asylum seeker.
 
KWANINI UNATESEKA?
 
MBONA MCHANGIA WACHUNGAJI KUNUNUA MAGARI?
 
kwanza kuna flaw kwenye hoja yako. Una uhalika kila anaechangia ni maskini?
 
Muujiza unaoishi.....risasi 16 ziliingia mwilini ,moja imebakia ,22 zimeenda nje ya target.

38 bullets couldn't drop him ,he took and smiled ,a lot they clapped but he ate 'em shits like scooby's snacks.
Mkuu hapo mwishoni umepita kama Pac kwenye Hit Em Up 😁
 
Bima valid πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pamoja na kuwa yupo CDM ila anayopambania nje ya siasa unamlipa?.

Mfano kuna wanasheria wengi wanajitolea kusimamoa kesi zenu huko, uliwahi toa 200/- uongezee mafuta ya gari yake to mahakamani?.
 
Halafu ukishajua Kama inatengenezeka?
Ile gari itawekwa jumba la makumbusho ili watu wakumbushwe kwamba, hata umpige mtu risasi arobaini Kama Mungu hataki wafanya kazi bure.
By the way, hakuna anayelazimishwa kuchangia gari jipya la Lissu.
makumbusho ya Chadema yatakua wap ili watalii wafike kirahisi πŸ’
 
CCM nyie ni wajinga sn, hakuna sehemu Lisu kaomba kununuliwa gari, watu ndiyo wameamua kumnunulia gari na hiyo iwe ni kumbukumbu yake, mbona nyie mnachanga form ya uRais kila mara au maza hana milioni 1 ya form?
acha upotoshaji kamanda,
muungwana ameomba kwa mdomo wake mwenyewe hadharini, licha ya wazo kutoka kwa wanaharakti wa Chadema πŸ’

si amini kama unafanya makusudi Ben...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…