Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

Nimesahau source but coach wao alisema wapo pale kuwakirisha Africa sio arab world.
 
Post kali. Hata Argentina ilishafanya mauji ya kimbali kwa watu weusi wote ndani ya nchi yao na still kuna waafrica hawajali wanaisupport.
 
Alikuja kuweka sawa kuwapoza Waafrika waliozani kutotajwa tu pale basi hawathaminiki. Watu walishindwa kuelewa kua wakati mwingine ni kusahau tu
Lakini kiujumla hakuna ngozi ya nguruwe inataka kuwekwa kundi moja na brown lala mkuu. Kuna siku mjamaika akaitwa mwafrika akamaindi kuwa mie am Jamaican and not African. Mpaka mghana mmoja akamaindi kuwa Sasa anakataa Jamaica Kuna Nini na huku inazidiwa na nchi nyingi mno kiuchumi za kiafrika. Halafu west Africa Wana Tambo Kama za baadhi ya ndugu zetu hapa hapa bongo mpaka na wao wanatambaga kuwa level zao Ni waasia sio blacks
 
Tufanye nakubaliana nawe, je msemaji yeye ana nafasi gani kwenye timu?

Je, yale ni mawazo yake binafsi au yanawakilisha timu na taifa zima la Waafrika wenzetu Morocco ?

Tukumbuke kila mmoja ana uhuru wa kujieleza, na Pengine bwana Boufal anajihisi Mwarabu na Muislam zaidi kuliko Mwafrika. Na hiyo si dhambi.
You are not mentioned, you are not there.
 
Ameomba radhi kwa “Kusahau kuitaja Afrika ktk mahojiano..”

The standard, Kenya
 
Habari Wana jamvi.

Kocha wa Timu ya Taifa ya Morrocco Boufan amesema ushindi wao dhiya Hispania na kuingia robo fainali ya Kombe la Dunia Ni Dedication kwa Ulimwengu wa Waarabu..

Morocco imeikacha Africa huku Waafrika wakijipendekeza na kuishangilia Morocco kwa kujinasibu kwamba Ni Waafrika wenzao licha ya Morocco kuwakacha Waafrika.

Matamshi hayo ya Kocha wa Morocco yamezusha mjadala wa Utambulisho wa Taifa na jamii Yao HKama Ni Taifa/jamii la Kiafrika au la Kiarabu.

Kocha wa Morroco ameomba radhi kwa kulisahau Bara la Africa 😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20221208-063906.png
    131.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20221208-063944.png
    54.4 KB · Views: 3
MBONA MUDA SANA MOROCCO WALISHASEMA WAO SIO WAAFRIKA?? HIVI HATUWEZI WATOA KWENYE UMOJA WA AFRICA AU???

Au kama kuna uwezekano tuchimbe mpaka wao kama mfereji wa suez kisha unaujaza maji wabakie kule juu kama ka kisiwa tu wachague pa kwenda🤒🤒🤒
 
Aisee,hawa naona wamelewa ushindi mapema,mpaka wakasema na ushindi huu ni kwa muslims ina maana Morocco hakuna wakristo au hakuna waarabu wakristo,hawa ni wa kupuuzwa tu maana inaonekana ni hovyo tu.
 

Na Morocco walifikia hatua ya kuomba kujiunga na Ulaya mwaka 1987. Kwamba wanajihisi kuwa wazungu zaidi ya Africa.

Wazungu waliwagomea ndo wakaanza kujileta Africa, hata hivyo, bado wanaegemea uarabu zaidi ya uafrika.
 
Wapo kwenye ardhi ya Afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…