Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #81
Umelaaniwa wewe na uzao wako. Mimi nimebarikiwa. Laana haina nguvu juu yangu. Wee endelea kuishi kwenye kongwa la laana. Haiwezekani watu wote tufanane, wala USILAZIMISHE TUFANANEU
Umelaaniwa mkuu, haitabadikisha ukweli
Kwani siyo kweli kuwa ni nchi ya kwanza ya kiarabu kufika hapo? Unataka kubisha Morocco siyo waarabu? Mbona inajulikana kabisa kuwa kuna ni waarabu na bara lao ni Afrika?
Mimi sioni shemu waliojitoa? Jamaa kaposha.Shangwe zote zile nimewashangilia jana kumbe wamejitoa kwenye uafrica eboo😀
Wakenya na nchi yao ni Zambia, sio?Kwani siyo kweli kuwa ni nchi ya kwanza ya kiarabu kufika hapo? Unataka kubisha Morocco siyo waarabu? Mbona inajulikana kabisa kuwa kuna ni waarabu na bara lao ni Afrika?
Mbona wako kwenye muungano wa African (AU)?Hawana jinsi....we unahisi wakiambiwa na FIFA wachague kati ya Afcon au ligi ya waarabu watachagua ipi?
Soka weka pembeni, kati ya AU na Arab league wao wanafata ipi?
Kwani kuna sehemu kaandika unahisiana na waafrika? Usipotajwa maanake hauusikiMbona sijaona sehemu anayosema "ushindi huu hauusiani na Waafrika"!!
Kwanza mfalme wao alimdanganya Magu atamjengea Uwanja wa Mpira hadi Magu akavuta bila hata site ya Uwanja kujulikanaMorocco Egypt na Libya
Zilisha kataa kuwa wao siyo waAfrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika.
Na ni Morocco ndiyo walio pinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa kombe la dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa kombe la dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu_
View attachment 2438715
Kwenye thread yako maelezo yote yanaonyesha una inferiority complex ya aina fulani. Ulikuwa unasubiri tu kitu kidogo kabisa kiilipue. Jamaa kasema vizuri kabisa ushindi ni kwa nchi yake, waarabu na waislam. Hakusema siyo kwa ajili ya Afrika. Mtu yoyote anapofikwa na jambo lile zuri au baya hukumbuka wale walio karibu kwa haraka zaidi.Wakenya na nchi yao ni Zambia, sio?
Jamaa ametoa conclusion anayodhani yeye ni siyo alichoandika. Hakuna sehemu yoyote aliyosema siyo kwa Afrika.
Akitaja wanaohusika na ushindi amenukuliwa hivi:-Mbona sijaona sehemu anayosema "ushindi huu hauusiani na Waafrika"!!
Tatizo ni dini yaoHawa waraabu utofauti wao na shetani ni mdogo sana
Kwani huo ni msimamo wa Serikali au Chama Cha Soka cha Morocco au ni msimamo wa mtu binafsi?!Kwanini wanashiriki champion ligue na afcon Kama wao sio africa
Huu ni upumbavu na upuuzi tu!!