Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Ivi Ile kauli ya Trump Ni ya ukweli ama mie nilijua Ni maneno yaliyokuwa yanazunguka. Bora tungekuwa na umoja wetu wenye nguvu na sarafu yetu. Na mtu mweusi aruhusiwe kuingia nchi yeyote ya afrika Ila sio zile Tunisia moroco Egypt Libya Mana hao jamaa Ni waarabu sio waafrikaUaenda mbali
Samuel Eto aliwahi zomewa wakati yupo Hispain..
Rais wa USA alizitaje nchi za Kiafrica![emoji1787][emoji1787]
Mtu anasema bora Wazungu.
Mtu mweusi utadhaurika popote bale mradi sio kwa waafrica wenzako hilo halina ubishi.
Etoo alikataliwa kununua saa uk kuwa wewe Ni mweusi huna uwezo. Baloteli na wengineo. Hata wakifunga goli ukicheki hawawapi Ile pongezi Kama mwenzao nguruwe pia.Samuel E'to alishawahi kuzomewa na kupigwa na ndizi kama sikosei kule Hispain wale walimfanyia vile walikuwa Waarabu???!
Inategemea na jamaa alikua anaongea vipi na namna alivyo ulizwa. Shida ni kua watu mpo tayari kukumbatia habari ya uongo kisa tu inaendana na mnachowaza
Hivi una akili kweli. Jaribu kutoka hapa kwenu si upo kwa mama yako (tz). Ruka mipaka ndio utajua Kama hujui.acha kabisa naomba ufunge mdomo mkuu. Hapa tu Qatar ujenzi wa viwanja wamesemaje waliokufa waafrika.wale dada zetu wanaonyenyesha mbwa uarabuni.Hivi nyie hizi habari huwa mnaziokota wapi?
Halafu mtu anakwambia eti Mwarabu ni mshenzi kuliko Mzungu!!Etoo alikataliwa kununua saa uk kuwa wewe Ni mweusi huna uwezo. Baloteli na wengineo. Hata wakifunga goli ukicheki hawawapi Ile pongezi Kama mwenzao nguruwe pia.
Yaani yule wa kwao wanamfeel kinyama na hongera sio ya kinafiki.
Ivi wale balcks walioko India lile kabila la siddis ivi kweli wanapata treatment nZuri from Indian government
Wewe umeniqoutes vibaya nilikuwa namuuliza huyo jamaa juu aliesema Waarabu ni washenzi kuliko Wazungu..Hivi una akili kweli. Jaribu kutoka hapa kwenu si upo kwa mama yako (tz). Ruka mipaka ndio utajua Kama hujui.acha kabisa naomba ufunge mdomo mkuu. Hapa tu Qatar ujenzi wa viwanja wamesemaje waliokufa waafrika.wale dada zetu wanaonyenyesha mbwa uarabuni.
Hata g
Hapahapa bongo wanalazimishwaga wasex na mbwa,naomba usinitie hasara basi. Mwishowe nitoe povu.
Yaani wewe Hapa kwenu unapendwa unajua Ni pote.
Kuna kijana wa ditopile tulisoma naye rashia Ile anakuja likizo. Siti moja na mdada mzungu yule mdada aligoma kukaa naye. Ikabidi uongozi imbembeleze kumpeleka first class.
Enzi hizo tunakula Malaya was Moscow Kuna wengine hawakuwa wanataka blacks hata iweje Ila wengine POA tu.
Achana na nguruwe ngozi mkuu Tabia zao kama nguruwe tu.
Mie nikiwa kiongozi nadhani wataniua asubuhi na mapema.
Yani mie Bora tufe Ila sio misaada na hizo madini miktaba natengua yote.
Kongo wanauana wanachukua Mali Ile fujo pia Wana mikono yao
Wote sawa tuu hawapendi watu weusi lakini mzungu ana uwoga kidogo kutokana na kubanwa na uwoga wa sheria, mwarabu bado ana akili za kijima na sheria ni kama kibongo bongo tuuHivi nyie hizi habari huwa mnaziokota wapi?
Hivi nyie mnawajua Wazungu nyie au?
Rais Aliepita wa USA aliwaitaje Waafrica??
Ndugu yangu tuyaache tu haya tusigombane Mwafrica mwenzangu ila Hao viumbe ungewajua basi tu..Wote sawa tuu hawapendi watu weusi lakini mzungu ana uwoga kidogo kutokana na kubanwa na uwoga wa sheria, mwarabu bado ana akili za kijima na sheria ni kama kibongo bongo tuu
Sasa jamani kama Tz hatuna uwezo wakucheza huko watu wasishabikie? Ila kwa hao waarabu hapana huku kwetu hawatutambui kama ni wenzao [emoji3] tushabikie tu hizo nyingine ili kupunguza stres zetu maana sie huku mwendo wa migogoro tu na kupeana rushwa, AFCON yenyewe ni ndoto ya mchanaNdio maana hata ule uzi wa world cup sijachangia chochote.
Nchi yangu Tanzania haipo.
Halafu mtu bila aibu unakuta kwao nangurukuru anashabikia England au Brazil.
Unabakia kujiuliza tu. Huyu ana akili timamu kweli??
Watanzania na waafrika tuna mental slavery ambayo kuachana nayo itachukua muda
Naangalia mpira kama burudani tu ila huwezi nikuta nashabikia timu ya Taifa jingine.
Naishi nao kwa miaka mingi sana na nawajua vizuri sana wengine ni family kabisa, wazungu ni waoga kufanya mambo ya ovyo kwa sababu ya ustaarabu na sheria ila waarabu ni wajima sana wanaweza kukufanyia mambo kama panya road tuu (my opinion)Ndugu yangu tuyaache tu haya tusigombane Mwafrica mwenzangu ila Hao viumbe ungewajua basi tu..
Omba Mungu siku uje kuishi nchi zao ndo utakuja jua .
Mzungu na Mwarabu wote wabaguzi ila ubaguzi wa waarabu ni mbaya zaidi kwani ndani yake kuna ujinga mkubwa. Umetolea mfano wa Eto na aliokutana nayo huko Italia (bara nyingine). Majuzi tu hapa, hapo Egypt kuna mchezaji walimwandama sana timu ya timu ya taifa kwa ajili ya ajili tu ni mweusi (tena ukimwona ndio wale huku kwetu wanaitwa white).Samuel E'to alishawahi kuzomewa na kupigwa na ndizi kama sikosei kule Hispain wale walimfanyia vile walikuwa Waarabu???!
Hawa ndio wameishia hapo, kwanza kipindi cha pili walikuwa wanacheza kama konokono maombi yetu tu ndio yaliwabeba.Morocco Egypt na Libya
Zilisha kataa kuwa wao siyo waAfrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika.
Na ni Morocco ndiyo walio pinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa kombe la dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa kombe la dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu_
View attachment 2438715
Urusi inafaamika kwa kiwango cha ubaguziHivi una akili kweli. Jaribu kutoka hapa kwenu si upo kwa mama yako (tz). Ruka mipaka ndio utajua Kama hujui.acha kabisa naomba ufunge mdomo mkuu. Hapa tu Qatar ujenzi wa viwanja wamesemaje waliokufa waafrika.wale dada zetu wanaonyenyesha mbwa uarabuni.
Hata g
Hapahapa bongo wanalazimishwaga wasex na mbwa,naomba usinitie hasara basi. Mwishowe nitoe povu.
Yaani wewe Hapa kwenu unapendwa unajua Ni pote.
Kuna kijana wa ditopile tulisoma naye rashia Ile anakuja likizo. Siti moja na mdada mzungu yule mdada aligoma kukaa naye. Ikabidi uongozi imbembeleze kumpeleka first class.
Enzi hizo tunakula Malaya was Moscow Kuna wengine hawakuwa wanataka blacks hata iweje Ila wengine POA tu.
Achana na nguruwe ngozi mkuu Tabia zao kama nguruwe tu.
Mie nikiwa kiongozi nadhani wataniua asubuhi na mapema.
Yani mie Bora tufe Ila sio misaada na hizo madini miktaba natengua yote.
Kongo wanauana wanachukua Mali Ile fujo pia Wana mikono yao
Alikuja kuweka sawa kuwapoza Waafrika waliozani kutotajwa tu pale basi hawathaminiki. Watu walishindwa kuelewa kua wakati mwingine ni kusahau tu