Somo la mali kwa wanandoa kwa kilichotokea kwa Achraf Hakimi na mkewe

  • umejiona usivyojua Sheria πŸ˜€
  • ndio maana Sheria ikatumia maneno ' the court may order ', ikamaanisha sio lazima ni hiyari ya Mahakama, s
-kwenye kutafsiri sheria tunasoma kifungu Cha sheria kwa ujumla wake, Kwa sababu huwezi kusema kutenganisha tafsiri ya kisheria kwenye kifungu kimoja Cha sheria chenye subsections nyingi
 
-nimekupa hadi vifungu vya sheria, huelewi au English ndio tatizo?
-Power of court to order maintenance for spouse (1) The court may order a man to pay maintenance to his wife or former wife , when granting or subsequent to the grant of decree of divorce .
Toa tafsiri ya hicho kifungu hapo juu.
 

Huenda Mimi ndio sijaelewa,
Sasa type mfano WA kesi ambayo Mume katoa talaka na bado Mahakama ikamlazimisha kumhudumia Mtalaka wake.

Maana nafikiri hujui sheria au umekariri, ingawaje Mimi sio Mwanasheria lakini ninauwezo wa kujua mantiki ya kila sheria.

Ipo tofauti ya Mwanamke aliyetengana na Mume na Mwanamke aliyepewa Talaka.
Hapo ndipo unakwama
 
  • Nimekwambia kuwa mahakama inaweza kutoa hiyo amri au isitoe hiyo ipo kwenye discretion ya Mahakama.
  • unataka mantiki gani? Wakati hiyo jambo liko kwenye discretion ya Mahakama, Yaani mahakama inaweza kutoa amri ya matunzo au isitoe hiyo amri, Kwa kuangalia mazingira Fulani Fulani.
-
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hicho kifungu hakielezi unavyoeleza wewe,

Ndio maana nikakuambia ukikariri sheria itakusumbua Mahakamani,
 

Je Kama mama hakimi anaishi Morocco na mali zake kawekeza morocco?

Hakimi na mkewe wanaishi ufaransa

Kesi ipo mahakama ya ufaransa

Hapo itakuaje?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hicho kifungu hakielezi unavyoeleza wewe,

Ndio maana nikakuambia ukikariri sheria itakusumbua Mahakamani,
- toa tafsiri ya maneno haya " when granting or subsequent to the grant of decree of divorce"
Umeelewaje hapo?
Kwa nini Bunge limetunga hicho kifungu?
 

Sheria uliyoitoa haielezi mazingira Fulani fulani, au ni Kwa utashi wa Hakimu au Jaji?

Mnapotengana Mahakama itaangalia Haki za kila mmoja katika mambo makubwa mawili, moja; Kugawana Mali, pili, matunzo ya Watoto.
Full stop.
Hiyo sheria unayoieleza kuwa Mahakama inaweza kumlazimisha Mwanaume kumhudumia Mtalaka wake haipo, na hakuna mazingira ya Hilo kufanyika.

Ingefaa utoe Reference ya kesi yoyote ambayo Mahakama uliwahi kufanya hivyo.
 
-tatizo Sheria, nimekuwekea huelewi
-huyo sheria ipo tatizo ww huelewi, umeambiwa when granting or subsequent to the grant of decree of divorce hayo meneno yana maana gani?
 
-unajua maana ya neno Mali za Wana ndoa?
- Mimi natumia Sheria za Tanzania, najaribu kuliweka Hilo suala kwa sheria za Tanzania.
Hata sheria za Tanzania wewe leo unakofanya kazi ijulikane mwisho wa mwezi unakunja cash Tsh 5mill mkeo aombe talaka atake kugawana mali kisha uonekane huna hata cent lakini mama yako aonekane ana hela na matunzo anakupa wewe hakuna wa kulibadilisha hilo.

Shida msingi wa mahakama zetu za Tanzania zinaamini bado ktk kum-favor mwanamke kwamba ni kiumbe dhaifu so lazima asaidiwe wenzetu hatua hiyo wameshaivuka wapo ktk kuitendea haki ile wanaita 50/50 ndiyo maana huko jamaa nae kaenda kufungua shauri wagawane mali za huyo mwanamke na kesi imeshafunguliwa.

Na kama point ni mali za wanandoa,inaweza kuwa nyumba tena moja nayo ukaitoa zawadi kwa watoto lakini kile kipato unachokiingiza kwenye shughuli zako na mali zako nyengine unaweza kukiamulia mwenyewe.
 
-unajua maana ya neno Mali za Wana ndoa?
- Mimi natumia Sheria za Tanzania, najaribu kuliweka Hilo suala kwa sheria za Tanzania.

πŸ˜€πŸ˜€
Mshahara sio Mali ya wanandoa, Mshahara ni Chumo binafsi la MTU anayefanya kazi.
Anayohiyari kuiingiza kama Mali ya familia au Mali binafsi. Itategemeana na hiyari ya MTU..
Ndio maana MTU anaweza akatenga 20% ya Mshahara ndio itatumika nyumbani lakini iliyobaki akatoa msaada.

Ili mradi familia aihudumie
 
-tatizo Sheria, nimekuwekea huelewi
-huyo sheria ipo tatizo ww huelewi, umeambiwa when granting or subsequent to the grant of decree of divorce hayo meneno yana maana gani?

Hiyo sheria haielezi kama unavyoeleza wewe.
Ndio maana nikakuambia nitafute kesi hata Moja inayokubaliana na maelezo yako.

Mahakama haina mamlaka wala uwezo wa kumlazimisha mtu(Mwanaume au Mwanamke) amhudumie Mtalaka wake,
Hakuna mazingira yoyote yanagosapoti kitu kama hicho.
Embu tusaidie kutaja mazingira ya mtu(mwanaume au Mwanamke) anayopaswa kumhudumia Mtalaka wake.
 
- mbona unakimbilia kuwajibia Watu maswali yao wakati, ww maswali niliyo kuuliza umeshindwa Kujibu kwa kutokujua sheria au kwa kutokufahamu kwa ufasaha Lugha ya kiingereza.
-mimi nimemuuliza swali anipe Maana ya neno Mali za wanandoa, nilitarajia uje utoe tafsiri ya neno Mali za wanandoa ni kitu gani lakini na wewe umekuja kuleta vitu visivyohusika kabisa.
 
- Ona Sasa usivyojua Sheria, unesoma statutory interpretation lakini? Kwenye statutory interpretation tunatumia sheria Kwanza, kama jambo Hilo limefafanuliwa kwenye sheria, hakuna haja ya Kesi kwa sababu sheria ishasema na hapo ni discretion ya Mahakama aidha itoe matunzo Kwa mke Kwa kipindi Fulani au isitoe hicho kifungu kimetumia neno may maana yake mahakama inaweza ikatoa hiyo amri au isitoe, ingekuwa imetumia maneno Shall maana yake mahakama imetumia masharti ya Lazima, kwamba lazima itoe matunzo Kwa wife au Kwa former wife Kwa kipindi Fulani Cha muda, na ndio maana nikakwambia hujasoma Statutory interpretation Act vizuri utalewa vizuri.
-
 

Mali za wanandoa ni zile walizokubaliana ziwe Mali za familia(zao wote Wawili) iwe zilizochumwa Kabla au Baada ya wao kufunga Ndoa.

Wanandoa wanaweza kuamua kila MTU amiliki Mali zake kivyakevyake.
Ni maamuzi Yao tuu.

Embu tupe reference ya kesi yoyote katika Nchi yoyote ambayo Mahakama iliamrisha mwanaume kumhudumia Mtalaka wake.
Ili kuipa nguvu hoja yako.

Kwa sababu kimantiki Mkishapeana Talaka kila MTU yupo Huru kuendelea na mambo yake. Nafikiri kisheria unajua maana ya neno Uhuru
 
Hizi huhesabika moja kwa moja kuwa ni za wanandoa wote mpaka isemwe vinginevyo.
Mkuu hapa naomba kuuliza swali kidogo, Mali nyingi kwenye migogoro hua ni za wanaume yaan pakitokea mgogoro wa ndoa zinakimbiliwa kugawanywa Mali za mwanaume sio za wanandoa, km ilivyotokea kwa Ashraf mwanamke alikua anagombea Mali za Ashraf sio Mali za Ndoa Ila mwanamke yeye Mali zake anazo sio kwamba hana Ila hazifanyi kua Mali za Ndoa hii imekaaje?

Hata hapa bongo unakuta mwanamke ana Mali anaziendesha Ila hazichukulii km Mali za Ndoa Ila anazichukulia km Mali zake na kukitokea mgogoro hatotaka kabisa hizo Mali zake kugawanywa, hii unaionaje?

Updates: Ashraf amefungua mashtaka kuomba kugawanywa Mali za aliekua mke wake maana yeye hana Mali kwa hio wagawane hizo za mkewe pasu kwa pasu, hii pia unaionaje? Kwa ndugu wakili,
 

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hapo kwenye "Shall" na "May" ndio umemaliza huu mjadala
Shall ni lazima
May ni huenda, yaani inategemea busara au mtazamo wa Hakimu Kwa muda huo, kadiri atakavyoona.
Mpaka hapo huoni kuwa hakuna kitu kama hicho?
 
- hiyo sio tafsiri ya ya neno Mali za Wana ndoa, Mali za wanandoa ni zile Mali zote zilizopatikana Wakati/kipindi Cha Ndoa kwa Kutumia kanuni ya mchango wa mwanandoa kwenye kupatikana Mali husika mfano Kwa kutoa pesa, Mali au kwa njia ya Kazi, sio lazima wawe wamekubaliana bali kinachaoangaliwa ni mchango wa mwanandoa kwenye kupatikana Mali husika.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hapo kwenye "Shall" na "May" ndio umemaliza huu mjadala
Shall ni lazima
May ni huenda, yaani inategemea busara au mtazamo wa Hakimu Kwa muda huo, kadiri atakavyoona.
Mpaka hapo huoni kuwa hakuna kitu kama hicho?
  • shall maana yake ni ni 'itaweza ' , may maana yake ni 'inaweza '
  • usiseme kuwa hakuna kitu Kama hicho, ndio maana hapo awali nilikwambia ni discretion ya Mahakama au neno discretion hujui maana yake? Nimegundua pengine tatizo ni Lugha ya kiingereza
  • nimekuchambulia Kwa kiswahili sasa umeelewa, kumbe maneno shall na may ndio tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…