Somo la mali kwa wanandoa kwa kilichotokea kwa Achraf Hakimi na mkewe

Somo la mali kwa wanandoa kwa kilichotokea kwa Achraf Hakimi na mkewe

Huyo hajui sheria, nimemfundisha vitu vingi Sana leo eg s.115 ya sheria ya Ndoa, nimemfundisha Kuhusu sheria ya tafsiri ya sheria, tools of statutory interpretation, si umeona ameanza kunukuu vifungu vya sheria japo havielewi

Soma sheria yote Acha kutoa Vifungu nusunusu kama mlokole wa sheria
 
hii kwa wenzetu ipo ila sidhani kama bongo hapa ipo mwenye ujuzi na sheria ya ndoa atupe elimu kidogo wakuu
 
Attachments

  • Screenshot_2023-04-16-23-47-38-753_com.kiwibrowser.browser.jpg
    Screenshot_2023-04-16-23-47-38-753_com.kiwibrowser.browser.jpg
    162.4 KB · Views: 4
😂😂
Ndio maana unatakiwa ufundishwe Kwanza Lugha na tamaduni ya Lugha husika.
Nimekuambia Hakuna MKE au Mume WA zamani kwenye utamaduni wa Lugha ya Kiswahili. Mtalaka haitwi Mume au MKE wa zamani, wala Mjane au mgane haitwi MKE au Mume WA zamani.

Mambo ya shule yanahitaji Kutumia zaidi Akili Mkuu.

Ndio maana Kwa wazungu Mwanamke na Mwanaume wote wanatumia neno I will Marry you, lakini Kwenyw Lugha za kiafrika Mwanamke hawezi Kutumia kitenzi Marry you akimaanisha nitakuoa.

Soma Lugha Acha kukariri Vifungu
- nifundishwe tamaduni? nazijua kupitia Sheria eg The Local customary law declaration order,/Tamko la Sheria za kimila humo utajifunza masheria sheria kadhaa ya kimila.
-wapi Mimi nimezungumzia masuala ya "I will marry you,", Mbona unaleta mambo mapya unakimbia maswali niliyo kuuliza,huko juu, ongeza Elimu
-
 
Unajua maana ya haya maneno, 'when granting or subsequent to the grant of decree of divorce '?
Mimi nadhani mazingira yanayopelekea hakimu kutumia kifungu hicho cha kumlazimisha mke wa zamani kupewa huduma ni kutokana na kwamba kuna wanaume wengine wanakataza wake zao kufanya kazi wakiwa kwenye ndoa. Kwahiyo wanapoachana Hakimu kutumia kipengele hicho cha kutoa hudua kwa mke wa zamani kwa muda ili kufidia muda aliotumia bila kufanya kazi.
 
Nafikiri Mahakama imeweka hicho kifungu kama mtego Kwa mwenza ambaye aidha alivunja sheria Fulani za kiwajibu na kimajukumu kimakusudi.
Na pia imelenga kutoa msaada Kwa mwenza ambaye anaweza kuwa kwenye hali ngumu iwe kimazingara, kiuchumi, au kiafya.

Hata hivyo sheria hiyo ni ngumu kufanya kazi Kutokana na sababu kuwa MTU akiachwa wengi wao huingia katika mahusiano mengine, na hapa ndipo Watu hawatakubali kuhudumia mtalaka( mwanaume au Mwanamke) ambaye yupo katika mahusiano na MTU mwingine hata kama hajafunga naye Ndoa.

Ingawaje sheria Vifungu vya Chini vinaeleza kwenye Duration of Maintenance Ipo katika namna mbili, mosi, aidha Kwa kifo (,Mtalaka anapokufa, lakini sababu ya pili, ni Akiolewa au kuoa tena, basi huo ndio utakuwa mwisho wa kumhudumia.

Sasa kama sababu inayoweza kuvunja ndoa ni Adultery, basi sababu hiyohiyo inaweza mpelekea Mtalaka asihudumiwe Baada ya kuachana.

Huwezi hudumia mwenza anayelala na MTU mwingine. Hiyo sheria ya hivyo haipo
Soma section 121 uelewe
 
...Naona Wanaume wamelishikia Bango Kumpongeza Mwanaume Mwenzetu bila Kufikiri!
Kitakachotokea Sasa... Jamaa Bado Ataktakiwa kutoa matunzo Kwa ajili Mtoto/Watoto wake, atajua Mwenyewe wapi atakozitoa Mwenyewe! SI anacheza mpira na analipwa Hela nzuri TU?
Tusubiri tuone Hakimu atampangia atoe Shilingi ngapi za matunzo...ama aende Jela!
Tusubiri pia Mke wake apate Wakili Mzuri wakati Dunia' nzima inajua Hela zake Hakimu 'amezificha' Kwa kumpa Mama yake!
Tungoje tuone SHERIA za huko kuhusu Watoto zinavyofanya Kazi....Sio SHERIA za Wizara yetu ya Ustawi wa Jamii ! [emoji1][emoji1]
Nyie wezi dawa yenu tumeshaijua
 
Wapi nimetoa vifungu nusu nusu? Si nimekuwekea kifungu kizima Cha 115 ukisome au hukuelewa? au unadhani hii ni Fasihi andishi?

Hichohicho kifungu cha 115 hujakisoma chote, hujakielewa, umesoma 115 kifungu kidogo cha cha Kwanza Roman d,e,f. Umeacha kifungu kidogo cha pili na cha tatu.
Ndio nikakuambia soma hiyo sheria kuanzia 115, kisha 116, mpaka 120, ndio utajua kuwa hiyo sheria inasema nini na inalenga nini?

Nimeshakuambia sheria ni Lugha, sasa kama Lugha inakupiga chenga huwezi sema unajua sheria. Waulize waliosomea hizo sheria wakuambie.

Nikakueleza kuwa hiyo sheria nusunusu uliyoitoa inayomtaka ATI mwanaume kumhudumia Mtalaka wake(Mwanamke aliyewahi kumuoa) inaendelea section ya 2 ambapo pia inatamka kuwa mamlaka itaweza kumshinikiza Mwanamke kumhudumia mumewe au Mtalaka wake wa kiume ikiwa hiyo mwanaume hajiwezi iwe jumlajumla au namna fulani.

Nikakuambia hilo Jambo haliwezekaniki, zingatia sheria Mahakamani pia zinaangalia utamaduni wa jamii walizotoka Watu. Sasa wewe unasoma Vifungu kama Kasuku, hauelewi unapoambiwa kitu kuwa Jambo Fulani haliwezekaniki, hasa katika jamii zetu za kiafrika.

Huwezi mhudumia Mtalaka, na kama utamhudumia itatokana na adhabu ya Mahakama kama ulitenda kosa Wakati WA Ndoa. Na ikiwa ni hivyo, huwezi iita hiyo ni Huduma bali itakuwa NI adhabu.

Ni Sawa na umpige MTU aumie alafu Mahakama iamuru umtunze MTU huyo mpaka apone.
 
Anzia kifungu cha 120 ili uelewe vizuri.

Alafu kuna kitu hukielewi hasa katika hizi sheria za ndoa.
Huko juu nilikuambia sababu zinazofanya ndoa kuvunjwa ndio hizohizo sababu zinazofanya MTU asihudumiwe.

Sababu kubwa zinazopelekea Watu kuachana ni Adultery. Sasa Kwa uelewa wako Mahakamani unaweza pewa amri ya kumhudumia Mtalaka uliyemkuta Kwa kosa la adultery?
Hapo ndio utajua kuwa wewe bado haya mambo huyaelewi vizuri.
 
- nifundishwe tamaduni? nazijua kupitia Sheria eg The Local customary law declaration order,/Tamko la Sheria za kimila humo utajifunza masheria sheria kadhaa ya kimila.
-wapi Mimi nimezungumzia masuala ya "I will marry you,", Mbona unaleta mambo mapya unakimbia maswali niliyo kuuliza,huko juu, ongeza Elimu
-

Hiyo CPA yako inanipa mashaka, Kutokana na Uelewa wako kuwa Mdogo.
Kama ungekuwa unazijua hizo sheria zinazozungumzia Mila na desturi usingeshindwa kuelewa kuwa Hakuna sheria inayomlazimisha mtu au inayomtaka MTU kumhudumia Mtalaka. Kwani kiutamaduni tuu Mtalaka hahudumiwi.

Sasa ili kuwapumbaza wajinga kama wewe ndio ikawekwa sheria hiyo kifungu 115, 116-120. Kwa Kutumia Mischief Rules.
Sasa kazi kwako kung'amua Kwa nini Mahakama imeweka hivyo, bahati nzuri umesema unajua masuala ya principles of Statutory interpretation.

Ndio lile swali langu nililokuuliza ambalo mpaka sasa hujajibu kuwa unafikiri Kwa nini Busara kuna Wakati imeingizwa kwenye Sheria?
 
  • kuwa na heshima, CPA sio rahisi kama fasihi, uwe na adabu.
  • wewe ndiye hujui sheria, Kwa sababu tangu awali ulikuwa Unasema hakuna sheria inayosema kuwa former wife anaweza akahudumiwa Kwa amri ya Mahakama,baadae ukakubali baada ya kukupitisha kwenye kifungu Cha 115, halafu baadae ukaanza kusema hata former husband pia anatakiwa kuhudumiwa Sasa hapo hujulikani msimamo wako ni upi,yaani ww sheria hujui.
-sheria ipo ya Ndoa ya 1971, ambayo imesema mahakama inaweza kutoa hiyo amri kwa kuangalia mazingira Fulani Fulani, haya maneno unayaelewa? "When granting or subsequent to the grant of decree of divorce "?, Hiyo hiyo sheria ya Ndoa ya 71 , imesema Kuwa amri ya matunzo inaweza ikafutwa na mahakama soma s.121, kifungu 120 kinasema haki ya matunzo inakoma pale the former wife anapoolewa au former husband anapooa.
- Mimi sio mjinga, na hata watu humu washajua nani mjinga, Mimi ningekuwa mjinga ningekuwa natoa vifungu vya sheria na kukufundisha Hadi statutory interpretation? Ww statutory interpretation ulikuwa unajua? Kama Mimi ni mjinga ww utakuwa nani? Mtu hujui matumizi ya shall,may, discretion
-
 
Anzia kifungu cha 120 ili uelewe vizuri.

Alafu kuna kitu hukielewi hasa katika hizi sheria za ndoa.
Huko juu nilikuambia sababu zinazofanya ndoa kuvunjwa ndio hizohizo sababu zinazofanya MTU asihudumiwe.

Sababu kubwa zinazopelekea Watu kuachana ni Adultery. Sasa Kwa uelewa wako Mahakamani unaweza pewa amri ya kumhudumia Mtalaka uliyemkuta Kwa kosa la adultery?
Hapo ndio utajua kuwa wewe bado haya mambo huyaelewi vizuri.
-kifungu Cha 120, kinasema matunzo Kwa former wife au former husband yanakoma pale, anapoolewa au kuoa, 121 inasema kuwa mtu anaweza kufanya maombi mahakamani ya kuomba amri ya matunzo Kwa former wife ifutwe pale kunapokuwa na misrepresentation, mistake of fact na Change in the circumstances, umeelewa?
-nani kakwambia Sababu kwenye sheria ya Ndoa Kuna kitu kinaitwa Sababu kubwa ya kuachana? Kwa mujibu wa sheria ya Ndoa, inavunjika Pale ndoa inapokuwa imeshaharibika na haiwezi kurekebishika tena, Sababu ziko nyingi mfano sexual perversion, kifungo Cha zaidi ya miaka mitano,ukatili,ugoni,kutelekezwa,ugonjwa wa akili, kasome kifungu Cha 107 Cha sheria ya Ndoa
- nataka unitajie kifungu Cha sheria kinachosema sababu ya ugoni ndio Sababu Kuu ya kutokutoa maintenance, naomba utaje hicho kifungu tukijadili
 
-mimi na wewe Nani hajui Sheria? Wewe kama ulikuwa unajua sheria mbona ulishindwa kujua tools of statutory interpretation? Mjuzi yoyote wa Sheria Lazima ajue tools of statutory interpretation zinazotumika hapa Tanzania kwenye mfumo wetu wa sheria za Uingereza, wewe ulikuwa hujui, Kwa kitendo Cha kutokujua tools of statutory interpretation, tayari umeonyesha hujui sheria hakuna mjuzi yoyote wa Sheria asiyejua tools za statutory interpretation.
  • Kuhusu hoja ya kusema kuwa huwezi kumuhudumia the former wife, hapo unajichanganya kabisa, kwenye hoja yako umetaja vifungu kama 120 Cha sheria ya Ndoa, technically umejiingiza kwenye mtego mfano hicho kifungu Cha 120 kimesema hivi, Right to maintenance to cease on remarriage (1) The right of any divorced woman to receive maintenance from her former spouse under any order of court shall cease on her remarriage. (2) The right of any man to receive maintenance from his former wife under any order of court shall cease upon his remarriage. (3) The right of any divorced person to receive maintenance from his or her former spouse under an agreement shall cease on his or her remarriage unless the agreement otherwise provides. Hicho kifungu kinatilia nguvu masharti ya kifungu Cha 115 ambacho hicho kifungu cha 115 kinazungumzia kuwa mahakama inaweza ikatoa amri ya matunzo kipindi Cha Kesi ya Ndoa na baada ya kutolewa talaka, Wakati kifungu Cha 120 kinasema kuwa Jukumu la kumtunza former wife au former husband linaishia pale huyo former wife anapoolewa au anapooa inacase of the former husband, kwamba akiolewa tu Jukumu la kumtunza former wife/husband (kama Kuna amri ya Mahakama) Hilo Jukumu linaishia hapo, umetaja vifungu vya sheria bila kuvielewa, kifungu kingine ulichotaja ni kifungu Cha 63, hicho kifungu kimsingi kinasema kuwa itakuwa ni jukumu kwa mume kumtunza mke wake Kwa kumpatia malazi,mavazi na chakula Kwa kuzingatia kipato Cha mume, lakini pia kimesema kuwa itakuwa ni jukumu kwa mke kumtunza mume wake pale mume napokuwa Hana uwezo wa Kutafuta kutokana na ugonjwa wa akili,matatizo ya kiafya,
  • umesema hadi s.130 yaani umetoka kabisa nje ya mada umeenda hadi kwenye vifungu ambavyo vinahusu matunzo ya watoto, wakati hoja ni matunzo Kwa former wife,
  • hebu nitajie hicho kifungu Cha sheria kinachosema mahakama inaweza kugoma kutoa maintenance Kwa sababu ya uasherati nikisome vizuri nikielewe,
  • eti unaniambia kuwa ingetosha kunifungua macho wakati, Mimi ndiye niliyekuelekeza matumizi ya maneno hayo, shall,may na discretion, au umesahau?
Wewe bwana unajua jua sheria. Hongera.
 
SOMO LA MALI KWA WANANDOA KWA KILICHOTOKEA KWA ACHRAF HAKIMI NA MKEWE.

Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.

Mke wa ACHRAF HAKIMI ameshindwa kupewa mali yoyote baada ya ndoa yao kuvunjika kwasababu Hakimi aliziandika mali zote jina la mama yake mzazi.

Je jambo hili linawezekana kwa Sheria za Tanzania ?.

Ndio linawezekana , ni hivi :-

Kwa wanandoa kuna mali za aina 2;-

1. Mali zilizopatikana kabla ya ndoa.
2. Mali zilizopatikana wakati wa ndoa.

MALI ZILIZOPATIKANA KABLA YA NDOA.

Hizi ni mali ambazo mtu anakuwa nazo kabla hajaoa ama kuolewa. Yumkini akiingia kwenye ndoa anaingia nazo.

Hata hivyo Sheria ya ndoa inasema mali hizi zinahesabika si za ndoa kwa maana ya kuwa huyo mwenye nazo ni zake peke yake bila mwenza wake. Ndoa ikivunjika haziwezi kugawiwa.

Pamoja na hayo, mali hizo pia zinaweza kubadilika na kuwa za ndoa ikiwa mambo mawili yatafanyika.

KWANZA, ikiwa mwenza mwenye hizo mali ataingia makubaliano na mwenza wake kuwa ziwe za ndoa basi zitakuwa za ndoa na itakapovunjika basi zitagawiwa

PILI, iwapo mali umeingia nayo kwenye ndoa lakini kipindi cha ndoa imeendelezwa.

Mfano, Umeingia kwenye ndoa na kiwanja chako lakini kipindi cha ndoa ndo kimejengwa, AU kilikuwa kimejengwa lakini ni pagala tu, kipindi cha ndoa ndo mmemalizia na kuwa nyumba kamili.

Hapa ndoa ikivunjika mtagawana na hautasema alinikuta na Pagala langu au kiwanja changu. Kitendo cha kuendeleza mkiwa wote kinampa haki mwingine na kuwa mali ya wote.

Lakini kama mali ameingia nayo kwenye ndoa na hakuna maendelezo yoyote yaliyofanyika kipindi cha ndoa basi hiyo mali haiwezi kugawiwa ndoa ikivunjika na inabaki mali ya mwenza huyo pekee.

MALI ZILIZOPATIKANA WAKATI WA NDOA.

Hizi huhesabika moja kwa moja kuwa ni za wanandoa wote mpaka isemwe vinginevyo.

Na haijalishi zipo kwenye jina la mke au mme, madhali zilipatikana kipindi cha ndoa basi zinahesabika ni za wanandoa na zinastahili kugawiwa ndoa inapovunjika.

Hata hivyo, ili ziweze kugawiwa ni lazima kila mwanandoa athibitishe mchango wake katika upatikanaji wa hizo mali.

Tafsiri ya mchango ni pamoja na pesa, vifaa, lakini hata kazi za nyumban nao ni mchango katika kupatikana kwa mali.

Mke au mme anayebaki nyumbani kwa ajili ya shughuli za nyumbani anahesabika amechangia kwa kile kinachopatikana kutoka kwa yule aliyeingia mtaani kutafuta.

Kwahiyo wakati wa kuthibitisha mchango hayo yote yanazingatiwa.

JE MGAWANYO WA MALI NI NUSU KWA NUSU.

Hapana, mgawanyo mali za ndoa inapovunjika sio lazima kuwa nusu kwa nusu. Inaweza kuwa 20%/80%, 70%/30%, 90%/10%, nk nk. Kwa ufupi hakuna kiwango maalum, hata kukosa kabisa kupo.

Kikubwa ni kuwa utapata fungu lako kutokana kiwango cha mchango wako kama tulivyoona hapo juu. Na kama huna mchango kabisa basi waweza kutoka kapa pia.

MALI AMBAZO ZIKO KWENYE MAJINA YA WATOTO.

Mali hizi hamuwezi kuzigawa ndoa inapovunjika. Hii ni kwasababu kitendo cha kuandika majina ya watoto ni sawa na kuwa mlikubaliana kuwapa zawadi watoto.

Ukitoa zawadi maana yake maslahi(ownership interest) yenu katika hiyo mali yalishahama kwenda kwa watoto kwa njia ya zawadi nanyi hamna maslahi tena katika hiyo mali.

MALI ZILIZOANDIKWA MAJINA YA WATU WENGINE.

Mali ambayo haina jina la mke au mme sio rahisi kuigawa ndoa inapovunjika.

Huyu HACHRAF HAKIMI aliandika majina ya mama yake. Mali ya namna hii ni vigumu kuigawa kama mali ya ndoa kwasababu inaonekana inamilikiwa na mtu mwingine.

Kwa msingi huu huwezi kugawa mali ambayo haihusiki. Wengine huandika majina ya ndugu zao, marafiki nk.

Ndio, akifanya hivi basi ni vigumu hiyo mali kuigawa ndoa ikivunjika hata kama una uhakika wa 100% kuwa ni yenu.

Hii ni kwasababu ushahidi wa nani mmiliki wa mali ni nyaraka au usajili. Nyaraka na usajili unaonesha mtu mwingine ni vigumu useme hii mali ni yetu.

MALI INAYOBADILISHWA UMILIKI.

Kama mali imeanza ikiwa ni ya ndoa halaf ikabadilishwa majina hiyo unaweza kuidai na ikagawiwa.

Wapo wanandoa wakiona mambo yameanza kubadilika basi ama huanza kubadili majina ya mali au huuza.

Ikiwa tarehe zitaonesha mali ilibadilishwa au kuuzwa kipindi cha ndoa na ni mali ya wanandoa,na mwenza hakuwa ameridhia, basi ubadilishwaji huo ama uuzaji huo ni batili na hiyo mali itarudishwa kwenye mali za wanandoa ili igawiwe.

WANANDOA WANAWEZA KUFANYA NINI KUHUSU MALI.

KWANZA, yafaa ikiwa mtakubaliana basi mali iwe na majina ya wote mke na mme. Iwe ni gari, kiwanja, nyumba,akaunti benki, nk. Sheria inaruhusu.

Hii husaidia sana hata kipindi cha kifo ambapo mjane au mgane hawezi kusumbuliwa.

PILI, mnaweza kuwa na makubaliano kuhusu kila mali,kuanzia zile ambazo mlikuwa nazo kabla hamjaoana, mpaka zile mtakazopata wakati wa ndoa. Mtakubaliana ipi iwe ya pamoja na ipi iwe ya mmoja.

Japo hili ni gumu kwa maisha yetu sababu ukilianzisha hili utaambiwa HUNA MAPENZI YA KWELI.

TATU, muwe na utaratibu wa kucheki mara kwa mara hadhi(status ) ya mali. Pitia pitia huko Ardhi, TRA, Serikali ya mtaa ujue. Msilale sana.

Huenda ukagundua kitu mapema kabla mambo hayajaharibika.

NNE, msajili/andika mali kwa majina ya watoto, maana yake muwape zawadi watoto. Hata kama mnatumia nyie lakini ikijulikana ni za watoto.

Ila lazima iwe imesajiliwa na sio kusema tu kwa mdomo kuwa hizi ni mali ni za watoto.

Ukisema mali ni za watoto na hakuna usajili rasmi hiyo hukataliwa sababu watoto hawana mali bali mali ni za wazazi na majina zitakuwa zinasoma wazazi.

TANO, kama hamuwezi kufanya lolote mapema kati ya hayo manne juu basi mmoja awe tayari kupoteza au msubiri mahakama iwaamue.

REJEA ya maandiko haya ni :-

Sheria ya ndoa R:E 2019 hasa vifungu vya 58,59,,60, na114.

NA

Shauri la Bi Hawa Mohammed vs Ally Sefu(Rufaa Na.9/1983) TZCA 12.

Endapo nitayawaza haya yote na huu umakini na uoga wote, bora kuishi mwenyewe tu...

Una haja gani ya kuleta mwanamke kwenye maisha yako huku na uoga wa kuibiwa this much?

Bora kuwekeza na kutafuta mwanamke nayeamini hata akinitenda basi...

Kwa hizi mindset, ndoa hazitadumu, watu hawatajitahidi kutunza viapo vyako, kila kitu ni mindset.

Ni vibaya sana kukataa ndoa dry, ila mie niseme, kama hatuwezi fuata utaratibu wa Mungu kuhusu ndoa, bora kuiacha tu na kupunguza uchungu.
 
Hichohicho kifungu cha 115 hujakisoma chote, hujakielewa, umesoma 115 kifungu kidogo cha cha Kwanza Roman d,e,f. Umeacha kifungu kidogo cha pili na cha tatu.
Ndio nikakuambia soma hiyo sheria kuanzia 115, kisha 116, mpaka 120, ndio utajua kuwa hiyo sheria inasema nini na inalenga nini?

Nimeshakuambia sheria ni Lugha, sasa kama Lugha inakupiga chenga huwezi sema unajua sheria. Waulize waliosomea hizo sheria wakuambie.

Nikakueleza kuwa hiyo sheria nusunusu uliyoitoa inayomtaka ATI mwanaume kumhudumia Mtalaka wake(Mwanamke aliyewahi kumuoa) inaendelea section ya 2 ambapo pia inatamka kuwa mamlaka itaweza kumshinikiza Mwanamke kumhudumia mumewe au Mtalaka wake wa kiume ikiwa hiyo mwanaume hajiwezi iwe jumlajumla au namna fulani.

Nikakuambia hilo Jambo haliwezekaniki, zingatia sheria Mahakamani pia zinaangalia utamaduni wa jamii walizotoka Watu. Sasa wewe unasoma Vifungu kama Kasuku, hauelewi unapoambiwa kitu kuwa Jambo Fulani haliwezekaniki, hasa katika jamii zetu za kiafrika.

Huwezi mhudumia Mtalaka, na kama utamhudumia itatokana na adhabu ya Mahakama kama ulitenda kosa Wakati WA Ndoa. Na ikiwa ni hivyo, huwezi iita hiyo ni Huduma bali itakuwa NI adhabu.

Ni Sawa na umpige MTU aumie alafu Mahakama iamuru umtunze MTU huyo mpaka apone.
-halafu haziitwi roman zinaitwa paragraph, kifungu kidogo Cha 2 na 3 vinasema hivi "The court shall have the corresponding power to order a woman to pay maintenance to her husband or former husband where he is incapacitated, wholly or partially, from earning livelihood by reason of mental or physical injury or ill-health, and the court is satisfied that having regard to her means it is reasonable so to order. (3) The power to order maintenance in the cases referred to in paragraphs (d), (e), (f) and (g) of subsection (1) shall extend to cases where the decree was granted by a foreign court, if it is one which is recognised as effective under the provisions of section 91 and, for this purpose, a declaratory decree recognising as effective a divorce obtained otherwise than by decree of a court shall be deemed to be a decree of divorce, Kwa kifupi kifungu kidogo Cha (2) vinahusu mahakama kuweza kutoa amri ya matunzo Kwa former husband kutoka kwa former wife, kifungu kidogo Cha (3) kinahusu kusajiliwa Kwa hukumu za mambo ya Ndoa kutoka nchi za nje ambazo Tanzania tuna ushirikiano nao kwenye utekelezaji wa hukumu za mambo ya Ndoa, Kwa kifupi ni kwamba ulichosema hukielewi hivyo vifungu huvielewi kabisa.
- kifungu Cha 116, kinasema hivi, mambo ya kuzingatia wakati wa Mahakama inafanya tathimini ya matunzo, hoja Yako ni ipi? S 120 inazungumzia ukomo wa maintenance, s 117, inahusu security for maintenance, hoja Yako ni ipi hapa? S.118 inahusu compounding maintenance hoja Yako ni ipi? S119 inahusu duration of orders for maintenance hoja Yako ni ipi hapa, Mimi nataka ujenge hoja kwenye vifungu kama Mimi ninavyofanya hapa
-kama zinaangalia utamaduni, ndio maana sheria ikasema the court may, na sio the court shall, umeelewa? Discretionary powers hizo
-unaposema kumuhudumia former wife ni adhabu ya Mahakama naomba utoe kifungu tukijadili hapa Kwa uwazi kabisa, Ili tujue,
-
 
  • kuwa na heshima, CPA sio rahisi kama fasihi, uwe na adabu.
  • wewe ndiye hujui sheria, Kwa sababu tangu awali ulikuwa Unasema hakuna sheria inayosema kuwa former wife anaweza akahudumiwa Kwa amri ya Mahakama,baadae ukakubali baada ya kukupitisha kwenye kifungu Cha 115, halafu baadae ukaanza kusema hata former husband pia anatakiwa kuhudumiwa Sasa hapo hujulikani msimamo wako ni upi,yaani ww sheria hujui.
-sheria ipo ya Ndoa ya 1971, ambayo imesema mahakama inaweza kutoa hiyo amri kwa kuangalia mazingira Fulani Fulani, haya maneno unayaelewa? "When granting or subsequent to the grant of decree of divorce "?, Hiyo hiyo sheria ya Ndoa ya 71 , imesema Kuwa amri ya matunzo inaweza ikafutwa na mahakama soma s.121, kifungu 120 kinasema haki ya matunzo inakoma pale the former wife anapoolewa au former husband anapooa.
- Mimi sio mjinga, na hata watu humu washajua nani mjinga, Mimi ningekuwa mjinga ningekuwa natoa vifungu vya sheria na kukufundisha Hadi statutory interpretation? Ww statutory interpretation ulikuwa unajua? Kama Mimi ni mjinga ww utakuwa nani? Mtu hujui matumizi ya shall,may, discretion
-

Siku hizi hata waliopata division 4 au 3 kidato cha nne Wana hizo CPA.
Hivyo kuwa na CPA au kutokuwa nayo haimaanishi chochote linapokuja suala la uelewa na uchambuzi.

Hakuna aliyekuita mjinga, Ila maandishi yako ndio yanaonyesha ujinga wako.
Nimeshakuambia Mtalaka hahudumiwi na hakuna sheria kama hiyo.
Ndio maana hata nikikuambia unipe kesi hata Moja hapo huwezi Kutoa.

Sasa kama Akili yako inakuambia ATI sijui shall na may na sijui hiyo discretion huoni kwamba unazidi kuthibitisha wewe ni mjinga. Alafu unaenda mbali zaidi unasema umenifundisha 😂😂😂.
 
-wewe ulipata division ngapi shuleni?
-cpa inasaidia kwenye uchambuzi, ndio maana wewe ulikuwa hujui maneno haya "when granting or subsequent to the grant of decree of divorce " haya maneno umeyashindwa kuyajua maana yake,
  • hakuna sheria ya kumuhudumia former husband/wife, wakati nimekupa kifungu Cha 115, soma na 120, au huelewi?
  • kama Mimi maandishi yangu ni ya kijinga mbona maswali yangu yote umeyashindwa inamaanisha labda ww ni mjinga zaidi?
-ndiyo nimekufundisha Kwa sababu nilikuuliza swali, la Tools of statutory interpretation ukashindwa na ukaomba nizitaje nikataja, Sasa hapo Mimi na wewe Nani mjinga zaidi?
 
-halafu haziitwi roman zinaitwa paragraph, kifungu kidogo Cha 2 na 3 vinasema hivi "The court shall have the corresponding power to order a woman to pay maintenance to her husband or former husband where he is incapacitated, wholly or partially, from earning livelihood by reason of mental or physical injury or ill-health, and the court is satisfied that having regard to her means it is reasonable so to order. (3) The power to order maintenance in the cases referred to in paragraphs (d), (e), (f) and (g) of subsection (1) shall extend to cases where the decree was granted by a foreign court, if it is one which is recognised as effective under the provisions of section 91 and, for this purpose, a declaratory decree recognising as effective a divorce obtained otherwise than by decree of a court shall be deemed to be a decree of divorce, Kwa kifupi kifungu kidogo Cha (2) vinahusu mahakama kuweza kutoa amri ya matunzo Kwa former husband kutoka kwa former wife, kifungu kidogo Cha (3) kinahusu kusajiliwa Kwa hukumu za mambo ya Ndoa kutoka nchi za nje ambazo Tanzania tuna ushirikiano nao kwenye utekelezaji wa hukumu za mambo ya Ndoa, Kwa kifupi ni kwamba ulichosema hukielewi hivyo vifungu huvielewi kabisa.
- kifungu Cha 116, kinasema hivi, mambo ya kuzingatia wakati wa Mahakama inafanya tathimini ya matunzo, hoja Yako ni ipi? S 120 inazungumzia ukomo wa maintenance, s 117, inahusu security for maintenance, hoja Yako ni ipi hapa? S.118 inahusu compounding maintenance hoja Yako ni ipi? S119 inahusu duration of orders for maintenance hoja Yako ni ipi hapa, Mimi nataka ujenge hoja kwenye vifungu kama Mimi ninavyofanya hapa
-kama zinaangalia utamaduni, ndio maana sheria ikasema the court may, na sio the court shall, umeelewa? Discretionary powers hizo
-unaposema kumuhudumia former wife ni adhabu ya Mahakama naomba utoe kifungu tukijadili hapa Kwa uwazi kabisa, Ili tujue,
-

😂😂😂
Sasa unakubali alafu muda huohuo inakataa.
Kama Mahakama zinaangalia utamaduni kama Sheria ilivyotoa hiyo discretion power Kwa Hakimu au judge ndio nikakuambia huwezi kumhudumia Mtalaka, wapi hauelewi?

Kama ingekuwa ni sheria inayohusu amri ingesema Shall, lakini Kwa vile inahusu busara ya Mahakama kumaanisha wataangalia mazingira ya wenye kesi, na unaposema mazingira unagusa mpaka Mila na desturi, moja Kwa moja ushasema Mtalaka hahudumiwi Kwa maana Mila na tamaduni zetu waafrika hakunaga kitu kama hicho.

Ndio maana nilipokuwa assesment ya kunitakia angalau kesi moja kusapoti hoja yako umeshindwa mpaka saa hii
 
Back
Top Bottom