Somo la mali kwa wanandoa kwa kilichotokea kwa Achraf Hakimi na mkewe

Huyo hajui sheria, nimemfundisha vitu vingi Sana leo eg s.115 ya sheria ya Ndoa, nimemfundisha Kuhusu sheria ya tafsiri ya sheria, tools of statutory interpretation, si umeona ameanza kunukuu vifungu vya sheria japo havielewi

Soma sheria yote Acha kutoa Vifungu nusunusu kama mlokole wa sheria
 
hii kwa wenzetu ipo ila sidhani kama bongo hapa ipo mwenye ujuzi na sheria ya ndoa atupe elimu kidogo wakuu
 

Attachments

  • Screenshot_2023-04-16-23-47-38-753_com.kiwibrowser.browser.jpg
    162.4 KB · Views: 4
- nifundishwe tamaduni? nazijua kupitia Sheria eg The Local customary law declaration order,/Tamko la Sheria za kimila humo utajifunza masheria sheria kadhaa ya kimila.
-wapi Mimi nimezungumzia masuala ya "I will marry you,", Mbona unaleta mambo mapya unakimbia maswali niliyo kuuliza,huko juu, ongeza Elimu
-
 
Unajua maana ya haya maneno, 'when granting or subsequent to the grant of decree of divorce '?
Mimi nadhani mazingira yanayopelekea hakimu kutumia kifungu hicho cha kumlazimisha mke wa zamani kupewa huduma ni kutokana na kwamba kuna wanaume wengine wanakataza wake zao kufanya kazi wakiwa kwenye ndoa. Kwahiyo wanapoachana Hakimu kutumia kipengele hicho cha kutoa hudua kwa mke wa zamani kwa muda ili kufidia muda aliotumia bila kufanya kazi.
 
Soma section 121 uelewe
 
Nyie wezi dawa yenu tumeshaijua
 
Wapi nimetoa vifungu nusu nusu? Si nimekuwekea kifungu kizima Cha 115 ukisome au hukuelewa? au unadhani hii ni Fasihi andishi?

Hichohicho kifungu cha 115 hujakisoma chote, hujakielewa, umesoma 115 kifungu kidogo cha cha Kwanza Roman d,e,f. Umeacha kifungu kidogo cha pili na cha tatu.
Ndio nikakuambia soma hiyo sheria kuanzia 115, kisha 116, mpaka 120, ndio utajua kuwa hiyo sheria inasema nini na inalenga nini?

Nimeshakuambia sheria ni Lugha, sasa kama Lugha inakupiga chenga huwezi sema unajua sheria. Waulize waliosomea hizo sheria wakuambie.

Nikakueleza kuwa hiyo sheria nusunusu uliyoitoa inayomtaka ATI mwanaume kumhudumia Mtalaka wake(Mwanamke aliyewahi kumuoa) inaendelea section ya 2 ambapo pia inatamka kuwa mamlaka itaweza kumshinikiza Mwanamke kumhudumia mumewe au Mtalaka wake wa kiume ikiwa hiyo mwanaume hajiwezi iwe jumlajumla au namna fulani.

Nikakuambia hilo Jambo haliwezekaniki, zingatia sheria Mahakamani pia zinaangalia utamaduni wa jamii walizotoka Watu. Sasa wewe unasoma Vifungu kama Kasuku, hauelewi unapoambiwa kitu kuwa Jambo Fulani haliwezekaniki, hasa katika jamii zetu za kiafrika.

Huwezi mhudumia Mtalaka, na kama utamhudumia itatokana na adhabu ya Mahakama kama ulitenda kosa Wakati WA Ndoa. Na ikiwa ni hivyo, huwezi iita hiyo ni Huduma bali itakuwa NI adhabu.

Ni Sawa na umpige MTU aumie alafu Mahakama iamuru umtunze MTU huyo mpaka apone.
 
Wapi nimetoa vifungu nusu nusu? Si nimekuwekea kifungu kizima Cha 115 ukisome au hukuelewa? au unadhani hii ni Fasihi andishi?

Hichohicho kifungu cha 115 hujakisoma chote, hujakielewa, umesoma 115 kifungu kidogo cha cha Kwanza Roman d,e,f. Umeacha kifungu kidogo cha pili na cha tatu.
Ndio nikakuambia soma hiyo sheria kuanzia 115, kisha 116, mpaka 120, ndio utajua kuwa hiyo sheria inasema nini na inalenga nini?

Nimeshakuambia sheria ni Lugha, sasa kama Lugha inakupiga chenga huwezi sema unajua sheria. Waulize waliosomea hizo sheria wakuambie.

Nikakueleza kuwa hiyo sheria nusunusu uliyoitoa inayomtaka ATI mwanaume kumhudumia Mtalaka wake(Mwanamke aliyewahi kumuoa) inaendelea section ya 2 ambapo pia inatamka kuwa mamlaka itaweza kumshinikiza Mwanamke kumhudumia mumewe au Mtalaka wake wa kiume ikiwa hiyo mwanaume hajiwezi iwe jumlajumla au namna fulani.

Nikakuambia hilo Jambo haliwezekaniki, zingatia sheria Mahakamani pia zinaangalia utamaduni wa jamii walizotoka Watu. Sasa wewe unasoma Vifungu kama Kasuku, hauelewi unapoambiwa kitu kuwa Jambo Fulani haliwezekaniki, hasa katika jamii zetu za kiafrika.

Huwezi mhudumia Mtalaka, na kama utamhudumia itatokana na adhabu ya Mahakama kama ulitenda kosa Wakati WA Ndoa. Na ikiwa ni hivyo, huwezi iita hiyo ni Huduma bali itakuwa NI adhabu.

Ni Sawa na umpige MTU aumie alafu Mahakama iamuru umtunze MTU huyo mpaka apone.
 
Soma section 121 uelewe

Anzia kifungu cha 120 ili uelewe vizuri.

Alafu kuna kitu hukielewi hasa katika hizi sheria za ndoa.
Huko juu nilikuambia sababu zinazofanya ndoa kuvunjwa ndio hizohizo sababu zinazofanya MTU asihudumiwe.

Sababu kubwa zinazopelekea Watu kuachana ni Adultery. Sasa Kwa uelewa wako Mahakamani unaweza pewa amri ya kumhudumia Mtalaka uliyemkuta Kwa kosa la adultery?
Hapo ndio utajua kuwa wewe bado haya mambo huyaelewi vizuri.
 

Hiyo CPA yako inanipa mashaka, Kutokana na Uelewa wako kuwa Mdogo.
Kama ungekuwa unazijua hizo sheria zinazozungumzia Mila na desturi usingeshindwa kuelewa kuwa Hakuna sheria inayomlazimisha mtu au inayomtaka MTU kumhudumia Mtalaka. Kwani kiutamaduni tuu Mtalaka hahudumiwi.

Sasa ili kuwapumbaza wajinga kama wewe ndio ikawekwa sheria hiyo kifungu 115, 116-120. Kwa Kutumia Mischief Rules.
Sasa kazi kwako kung'amua Kwa nini Mahakama imeweka hivyo, bahati nzuri umesema unajua masuala ya principles of Statutory interpretation.

Ndio lile swali langu nililokuuliza ambalo mpaka sasa hujajibu kuwa unafikiri Kwa nini Busara kuna Wakati imeingizwa kwenye Sheria?
 
  • kuwa na heshima, CPA sio rahisi kama fasihi, uwe na adabu.
  • wewe ndiye hujui sheria, Kwa sababu tangu awali ulikuwa Unasema hakuna sheria inayosema kuwa former wife anaweza akahudumiwa Kwa amri ya Mahakama,baadae ukakubali baada ya kukupitisha kwenye kifungu Cha 115, halafu baadae ukaanza kusema hata former husband pia anatakiwa kuhudumiwa Sasa hapo hujulikani msimamo wako ni upi,yaani ww sheria hujui.
-sheria ipo ya Ndoa ya 1971, ambayo imesema mahakama inaweza kutoa hiyo amri kwa kuangalia mazingira Fulani Fulani, haya maneno unayaelewa? "When granting or subsequent to the grant of decree of divorce "?, Hiyo hiyo sheria ya Ndoa ya 71 , imesema Kuwa amri ya matunzo inaweza ikafutwa na mahakama soma s.121, kifungu 120 kinasema haki ya matunzo inakoma pale the former wife anapoolewa au former husband anapooa.
- Mimi sio mjinga, na hata watu humu washajua nani mjinga, Mimi ningekuwa mjinga ningekuwa natoa vifungu vya sheria na kukufundisha Hadi statutory interpretation? Ww statutory interpretation ulikuwa unajua? Kama Mimi ni mjinga ww utakuwa nani? Mtu hujui matumizi ya shall,may, discretion
-
 
-kifungu Cha 120, kinasema matunzo Kwa former wife au former husband yanakoma pale, anapoolewa au kuoa, 121 inasema kuwa mtu anaweza kufanya maombi mahakamani ya kuomba amri ya matunzo Kwa former wife ifutwe pale kunapokuwa na misrepresentation, mistake of fact na Change in the circumstances, umeelewa?
-nani kakwambia Sababu kwenye sheria ya Ndoa Kuna kitu kinaitwa Sababu kubwa ya kuachana? Kwa mujibu wa sheria ya Ndoa, inavunjika Pale ndoa inapokuwa imeshaharibika na haiwezi kurekebishika tena, Sababu ziko nyingi mfano sexual perversion, kifungo Cha zaidi ya miaka mitano,ukatili,ugoni,kutelekezwa,ugonjwa wa akili, kasome kifungu Cha 107 Cha sheria ya Ndoa
- nataka unitajie kifungu Cha sheria kinachosema sababu ya ugoni ndio Sababu Kuu ya kutokutoa maintenance, naomba utaje hicho kifungu tukijadili
 
Wewe bwana unajua jua sheria. Hongera.
 

Endapo nitayawaza haya yote na huu umakini na uoga wote, bora kuishi mwenyewe tu...

Una haja gani ya kuleta mwanamke kwenye maisha yako huku na uoga wa kuibiwa this much?

Bora kuwekeza na kutafuta mwanamke nayeamini hata akinitenda basi...

Kwa hizi mindset, ndoa hazitadumu, watu hawatajitahidi kutunza viapo vyako, kila kitu ni mindset.

Ni vibaya sana kukataa ndoa dry, ila mie niseme, kama hatuwezi fuata utaratibu wa Mungu kuhusu ndoa, bora kuiacha tu na kupunguza uchungu.
 
-halafu haziitwi roman zinaitwa paragraph, kifungu kidogo Cha 2 na 3 vinasema hivi "The court shall have the corresponding power to order a woman to pay maintenance to her husband or former husband where he is incapacitated, wholly or partially, from earning livelihood by reason of mental or physical injury or ill-health, and the court is satisfied that having regard to her means it is reasonable so to order. (3) The power to order maintenance in the cases referred to in paragraphs (d), (e), (f) and (g) of subsection (1) shall extend to cases where the decree was granted by a foreign court, if it is one which is recognised as effective under the provisions of section 91 and, for this purpose, a declaratory decree recognising as effective a divorce obtained otherwise than by decree of a court shall be deemed to be a decree of divorce, Kwa kifupi kifungu kidogo Cha (2) vinahusu mahakama kuweza kutoa amri ya matunzo Kwa former husband kutoka kwa former wife, kifungu kidogo Cha (3) kinahusu kusajiliwa Kwa hukumu za mambo ya Ndoa kutoka nchi za nje ambazo Tanzania tuna ushirikiano nao kwenye utekelezaji wa hukumu za mambo ya Ndoa, Kwa kifupi ni kwamba ulichosema hukielewi hivyo vifungu huvielewi kabisa.
- kifungu Cha 116, kinasema hivi, mambo ya kuzingatia wakati wa Mahakama inafanya tathimini ya matunzo, hoja Yako ni ipi? S 120 inazungumzia ukomo wa maintenance, s 117, inahusu security for maintenance, hoja Yako ni ipi hapa? S.118 inahusu compounding maintenance hoja Yako ni ipi? S119 inahusu duration of orders for maintenance hoja Yako ni ipi hapa, Mimi nataka ujenge hoja kwenye vifungu kama Mimi ninavyofanya hapa
-kama zinaangalia utamaduni, ndio maana sheria ikasema the court may, na sio the court shall, umeelewa? Discretionary powers hizo
-unaposema kumuhudumia former wife ni adhabu ya Mahakama naomba utoe kifungu tukijadili hapa Kwa uwazi kabisa, Ili tujue,
-
 

Siku hizi hata waliopata division 4 au 3 kidato cha nne Wana hizo CPA.
Hivyo kuwa na CPA au kutokuwa nayo haimaanishi chochote linapokuja suala la uelewa na uchambuzi.

Hakuna aliyekuita mjinga, Ila maandishi yako ndio yanaonyesha ujinga wako.
Nimeshakuambia Mtalaka hahudumiwi na hakuna sheria kama hiyo.
Ndio maana hata nikikuambia unipe kesi hata Moja hapo huwezi Kutoa.

Sasa kama Akili yako inakuambia ATI sijui shall na may na sijui hiyo discretion huoni kwamba unazidi kuthibitisha wewe ni mjinga. Alafu unaenda mbali zaidi unasema umenifundisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
-wewe ulipata division ngapi shuleni?
-cpa inasaidia kwenye uchambuzi, ndio maana wewe ulikuwa hujui maneno haya "when granting or subsequent to the grant of decree of divorce " haya maneno umeyashindwa kuyajua maana yake,
  • hakuna sheria ya kumuhudumia former husband/wife, wakati nimekupa kifungu Cha 115, soma na 120, au huelewi?
  • kama Mimi maandishi yangu ni ya kijinga mbona maswali yangu yote umeyashindwa inamaanisha labda ww ni mjinga zaidi?
-ndiyo nimekufundisha Kwa sababu nilikuuliza swali, la Tools of statutory interpretation ukashindwa na ukaomba nizitaje nikataja, Sasa hapo Mimi na wewe Nani mjinga zaidi?
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa unakubali alafu muda huohuo inakataa.
Kama Mahakama zinaangalia utamaduni kama Sheria ilivyotoa hiyo discretion power Kwa Hakimu au judge ndio nikakuambia huwezi kumhudumia Mtalaka, wapi hauelewi?

Kama ingekuwa ni sheria inayohusu amri ingesema Shall, lakini Kwa vile inahusu busara ya Mahakama kumaanisha wataangalia mazingira ya wenye kesi, na unaposema mazingira unagusa mpaka Mila na desturi, moja Kwa moja ushasema Mtalaka hahudumiwi Kwa maana Mila na tamaduni zetu waafrika hakunaga kitu kama hicho.

Ndio maana nilipokuwa assesment ya kunitakia angalau kesi moja kusapoti hoja yako umeshindwa mpaka saa hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…