gR
 
Salam hizi zatokea katika tawi letu la Mbeya

Jioni hii Makao Makuu ya Kimomwe Motors Tanzania Limited Jijini Dar es Salaam tumekabidhi gari hizi chache miongoni mwa zilizotakiwa kukabidhiwa leo.

Ahsante wote kwa kutuamini na kuagiza nasi. Tutawatumikia watanzania kwa uaminifu, nidhamu na ubunifu zaidi huku tukijikita kwenye kuokoa pesa yako katika namna itakayokuacha mdomo wazi.

Piga 0746267740 ujifunze kuhusu huduma zetu zaidi

 
[emoji848][emoji848][emoji848] [emoji848] Hao wateja wamekubali picha zao kuwekwa mitandaoni?

Maana sitaki nije kufanya biashara na nyie nikute taarifa zangu huku na picha.
Wameridhia kwa lengo la kuthamini huduma yetu boss ili wengine wapate kushuhudia na kuamini
 
Yaani mtu mwenye akili timamu akubali kuanikwa namna hii? Noway! Kwani mmempa baada ya kushinda bahati nasibu au kanunua?
Hajashinda kaagiza kupitia sisi boss. Kwa kuthamini huduma aliyoipata anaridhia kupiga picha na kuonesha wengine ili mpate kuamini haswa ikiwa utakua unamfahamu.

Kwa asiyependa hutueleza na wengi sana hatuwaweki hivi. Kununua gari sio dhambi boss haswa kama huna makando kando au kipato chako ni halali huwezi kuhofia jilani yako kujua gari hiyo umenunua wapi. Wengine kweli hatupendi kuwekwa kwa sbb zetu binafsi lakini wengine huona ni kitu cha kawaida. Kwa ufupi ni kua hatuwezi kufanana kwenye mitizamo ndio mana kila binadamu ana maamuzi na utashi wake😊
 

Ni kweli kabisa boss. Lakini pia tuheshim maoni ya watu. Hatuweki oicha ya mtu mpaka mwenyewe aridhie na lengo hua ni zuli la wengine wapate kushuhudia huduma yetu kwa vitendo.
 
Hizi ni baadhi ya gari za bei chini zaidi kwa sasa ambazo zina uhakika wa safari ndefu bila kumchosha dereva sababu ziko confortable lakini manunuzi yake na spare ni gharama za kawaida kabisa na mafuta pia ni kawaida.



Kwa msaada zaidi piga 0746267740 au tembelea ofisi zetu za Dar na Mbeya.

Kimomwe Motors Save Time Save Money
 
Hii outlander ni kampuni gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnafanya Engine downgrading pia?
 
Salam wana jukwaa. Gari aina ya Subaru Forester ya 2011 yenye kilomita 51,000 na Cc 2000 (15km/Lt) inauzwa 25,500,000

Gari hii ina miezi 2 tangu kuingizwa nchini. Iko vizuri sana, mnunuzi atapatiwa file la ukaguzi na nyaraka za TBS kuthibisha ubora wa gari.

Piga 0746267740

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…