monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Zina shida gani?Hizi gari kila aliyeagiza anauza baada ya muda mfupi. Kuna jamaa alitaka tubadilishane model kama hii na ka IST new model kangu nikakataa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zina shida gani?Hizi gari kila aliyeagiza anauza baada ya muda mfupi. Kuna jamaa alitaka tubadilishane model kama hii na ka IST new model kangu nikakataa
Ee bana sijui. Hata mimi najiuliza swali hilohilo.
Wow, bora hukumpa nnavopenda IST new model mimii, hivi ni sh ngapi mkuu?Hizi gari kila aliyeagiza anauza baada ya muda mfupi. Kuna jamaa alitaka tubadilishane model kama hii na ka IST new model kangu nikakataa
Takununulia kamoja,[emoji7][emoji7][emoji7]Wow, bora hukumpa nnavopenda IST new model mimii, hivi ni sh ngapi mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu mkuu, fanya kweli basii aisee[emoji3]Takununulia kamoja,[emoji7][emoji7][emoji7]
kelphin kepph
Kama milioni 16 hivi nimelipa kwa kuagiza mwenyewe.Wow, bora hukumpa nnavopenda IST new model mimii, hivi ni sh ngapi mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rang gani...mama[emoji7][emoji7]
Umetishaa mkuu, afu kuna rangi flani hivi ni motoo "gray color"[emoji7]Rang gani...mama[emoji7][emoji7]
kelphin kepph
Okay, ngoja nianze savings after 5 years lazima nivute ki IST changu[emoji3]Kama milioni 16 hivi nimelipa kwa kuagiza mwenyewe.
150,000/= hadi 350,000/=Ivi Kipato cha kati kina anzia ngapi mkuu??




Miliki gari kwa kuagiza kupitia Kimomwe Motors (T) Ltd
Gari hii inaitwa Subaru Impreza ya 2007 (Push to Start), ina Cc 1500 , Kilomita 99,000...
Hivi kuna tofauti kati ya toyota cami na camry?Hii nayo ni gari nzuri ya juu, sijaiweka hapo kwa sababu ya 4WD ambayo wakati mwingine hulazimisha gari kutumia mafuta zaidi touti na Toyota Cami ambayo ina Cc 1300, lakini pia manunuzi kwa kuagiza gari hii ni zaidi ya 14m ambayo inaweza kua changamoto kwa mtu anayemiliki gari kwa mara ya kwanza
Rav 4 kill Time zilitoka miaka ya 2000 mpaka 2005, ni Toleo la Toyota la muundo
Wa SUV, ambalo ni gumu, rahisi kuhudumia kuanzia matengenezo na mafuta. Zipo zenye injini kubwa ya kawaida ambayo ni Cc 2000 na pia zipo za Cc 1800, zipo zenye 4wheel drive na ambazo hazina. Kwa ujumla ni gari nzuri sana na bei yake imeshuka kutoka 18m mpaka 15.5m