Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan
Agiza gari hizo pichani na Kimomwe Motors (T) Ltd kwa gharama nafuu sana.

1. Coaster 1HZ, Viti 29. Gharama zote 42,000,000, Malipo ya awali ni 28,500,000.

2. Rosa Viti 29, Gharama zote 29,200,000, Malipo ya awali 17,500,000.

3. Fuso Bus Viti 42. Gharama zote 41,100,000, Malipo ya awali 23,500,000.

4. Hino Viti 29. Gharama zote 30,550,000, Malipo ya awali 18,500,000.

Dar es Salaam tunapatikana Magomeni Mapipa Mkabala na Kituo cha Mwendo Kasi.

Mbeya tupo Mwanjelwa Soko Jipya

Au piga sim namba 0746 267740

WhatsApp Image 2020-06-01 at 14.15.08(1).jpegWhatsApp Image 2020-06-01 at 14.15.08(2).jpegWhatsApp Image 2020-06-01 at 14.15.08(3).jpegWhatsApp Image 2020-06-01 at 14.15.08.jpeg
WhatsApp Image 2020-06-01 at 14.15.08(1).jpeg
WhatsApp Image 2020-06-01 at 14.15.08(2).jpeg
WhatsApp Image 2020-06-01 at 14.15.08(3).jpeg
WhatsApp Image 2020-06-01 at 14.15.08.jpeg
 
Miliki #BMW #X3 iliyoboreshwa zaidi kiusalama, mwendo, ya heshima na ya kijanja kwa kuagiza nasi Kimomwe Mototrs (T) Ltd

Kuhusu matumizi ya mafuta inatumia wastani wa lita 8 mpaka 9 kwa litakutegemea na barabara unazopita.

Vipuli vyake vinapatikana kwa wingi zaidi katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Mwanza na kiasi Mbeya kwa gharama za wastani na uzuri wa vipuli vyake vinadumu kwa mda mrefu tofauti na gari za kijapan

Gari hii pichani:-
Kilomita: 83,000
Mwaka: 2004
Rangi: Pearl
Injini: 2500 Cc

Gharama zote ni 18,600,000, awali lipa 9,800,000.
Tembelea ofisi zetu za Dar es Salaam- Magomeni Mapipa na

Mbeya- Mwanjelwa Soko Jipya

au piga 0746267740 kwa msaada zaidi

Moderator naomba heading isomeke Endesha BMW X3 kwa 18,600,000

WhatsApp Image 2020-08-14 at 14.25.09.jpeg
 
Miliki gari kwa kuagiza kupitia Kimomwe Motors (T) Ltd

Gari hii inaitwa Subaru Impreza ya 2007 (Push to Start), ina Cc 1500 , Kilomita 99,000.

Gharama zote 10,850,000. Awali lipa 5,000,000. Zaidi tembelea ofisi zetu za Dar es Salaam- Magomeni Mapipa au Mbeya- Soko Jipya Mwanjelwa.

Au piga sim namba 0746 267 740

Sambaza Habari hii njema kwa wapendwa wako.
WhatsApp Image 2020-08-12 at 11.07.08.jpeg
 
Miliki gari kwa kuagiza kupitia Kimomwe Motors (T) Ltd

Gari hii inaitwa Subaru Impreza ya 2007 (Push to Start), ina Cc 1500 , Kilomita 99,000...

Toyota celica shingapi cc 1800 mwaka 2002 to 2003 rangi pearl au silver
 

Attachments

  • 20200815_162322.jpg
    20200815_162322.jpg
    31.1 KB · Views: 2
Hii nayo ni gari nzuri ya juu, sijaiweka hapo kwa sababu ya 4WD ambayo wakati mwingine hulazimisha gari kutumia mafuta zaidi touti na Toyota Cami ambayo ina Cc 1300, lakini pia manunuzi kwa kuagiza gari hii ni zaidi ya 14m ambayo inaweza kua changamoto kwa mtu anayemiliki gari kwa mara ya kwanza
Hivi kuna tofauti kati ya toyota cami na camry?

afu pia mwenzenu sijui nini maana ya 2wd au 4wd nini kazi yake.. Ipi inafaa zaidi
 
Mkuu hii Rav 4 Kilitime kwa sasa imeshuka hadi bei gani?
Rav 4 kill Time zilitoka miaka ya 2000 mpaka 2005, ni Toleo la Toyota la muundo
Wa SUV, ambalo ni gumu, rahisi kuhudumia kuanzia matengenezo na mafuta. Zipo zenye injini kubwa ya kawaida ambayo ni Cc 2000 na pia zipo za Cc 1800, zipo zenye 4wheel drive na ambazo hazina. Kwa ujumla ni gari nzuri sana na bei yake imeshuka kutoka 18m mpaka 15.5m
 
Back
Top Bottom