Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan
Mkuu nataka kuagiza gari BMW 320i E90 itanicost shilling ngapi nikiagiza kupitia kwenu na pia naomba insit za hilo gari
 
Point kubwa sana niliyotegemea isingekosa ni upande wa uscan. Tz tunatumia right hand ila kuna nchi tofaut zenye left hand ambayo ni changamoto kwa hapa tz. So Japani wanadrive right hand site tofaut na most of European countries (except UK, ireland etc) na USA.

Swala la inspection ilo lipo kila nchi. Hata japani magar yao yanakuja mabovu tu hasa yale ya bei ndogo.

Gar ya mwingereza nayo gharama kwa mtz ni wachache wa kuafford ndyomaana tunakomaa na za kijapan.
 
Point kubwa sana niliyotegemea isingekosa ni upande wa uscan. Tz tunatumia right hand ila kuna nchi tofaut zenye left hand ambayo ni changamoto kwa hapa tz. So Japani wanadrive right hand site tofaut na most of European countries (except UK, ireland etc) na USA...
Nimeshangaa kuona amesema gari za Uk gharama ni ndogo kulinganisha na JP
 
Mimi nataka kuagiza jersey ya Arsenal, mtandao gani wanauza kwa bei rafiki?
 
premio zina aina 3 ya injini. Ipo injini yenye Cc 1500 ina Vvti, Ipo yenye Cc 1800 ina Vvti pia na ipo yenye Cc 2000 ambayo haina Vvti. injini inayoshauliwa zaidi ni hizo 2 zenye Vvti...
Nashukuru Saana Kwa Ufafanuzi Murua Kabisa.

Vipi Upande wa Ulaji wa Mafuta?

Na Kuna Primio Moja niliiona mahala fulani ni hizi Smart Key, sasa sijajua Je, hizo ni New Model au ile ile ya Zamani? Niliambiwa ina CC.1800

Tafadhali kwa Ufafanuzi tena Mkuu wangu! Naipenda saana hii gari Primio.
 
Mkuu vipi kuhusu Runx....bei take ikoje, ulaji wa mafuta, uwezo wa kuhimili safari mrefu pamoja na upatikanaji wa spares.
 
Harrier old model cc2360 yenye vvti na cc 2160 isiyo vvti yofauti yake ktk ulaji wa mafuta ni IPI???
 
Back
Top Bottom