Gari pichani ina mwaka mmoja tangu iingie Tanzania. Ina sifa ziuatazo:-

1. Cc 2000 (Petrol)
2. Rangi: Gray
3. Automatic
4. 4WD
5. Kilomita: 92,000

Gari inapatikana Mbeya na haina tatizo lolote.

Bei ni 11,000,000, maongezi yapo.

Kwa mawasiliano zaidi piga 0753 361 000

 
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari

Gari pichani inafaa kwa safari ndefu na fupi, inafanya vizuri katika barabara zote za vumbi na lami. Vifaa vinapatikana kwa gharama za wastani.

Inaitwa BMW X3, ni ya mwaka 2004. Ina Cc 2500 (Kilomita 9 kwa lita), 4WD, ina Camera, Sunroof na ipo katika hali nzuri.

Gharama zote ni 16,950,000. Malipo ya awali ni 8,700,000.

Zaidi tembelea ofisi zetu za Dar- Magomeni Mapipa au Mbeya- Mwanjelwa Soko Jipya.

Au piga 0746 267740.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…