Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Dunia hii ya kisasa na utandawazi. hakuna mahali utakosa spare hata kama ni za kuagiza. labda wawe wameacha kutengeneza hizo gariGari hizi tembelea jijini
Usigejichanganya upo zako sumbawanga na wewe unataka kuimiliki unaweza kua na pesa na spare usipate,unaweza kuwa na spare na fundi usipate au unaweza pata fundi anarekebisha hiki anaharibu hiki.
Wadanganye wadau hivyo hivyo,Kuna mwana alitaka kuagiza Mazda CX-9 ya 2010's ni jamaa wa huko igunga tukamshauri chuma ya kuendana na mazingira yake akakata ushauri,akajibu hivyo hivyo ooh dunia ni Kijiji nitaagiza spea,limesha mzinguaga akaliuza huko Mwz kwa Bei ya kutupa.,ni mtu wa pili kutoka huko huko naona anavyoteseka.Dunia hii ya kisasa na utandawazi. hakuna mahali utakosa spare hata kama ni za kuagiza. labda wawe wameacha kutengeneza hizo gari
Hahah tatizo Volvo nyingi ni sura zake zinakua mbovu mbovu kishenzi.labda siku hizi ndio wanajitahd kuzipa shape nzuri.Na zina mwaga moto, kuna kamoja kalinitoa jasho kalikuwa sijui kama mazda gani na mie nilikuwa na Range Sport ya kutumwa aseee, ila nilikakomesha hakuja nione tena hadi naingia kidimbwi beach ππππ.. tuliachana Shinyanga pale
Demu hata awe mtamu vipi, kama reception mbovu hata pata mashambulizi ya maana.. apata wale wazee wa kuzingatia vigezo vya ndani sana πππHahah tatizo Volvo nyingi ni sura zake zinakua mbovu mbovu kishenzi.labda siku hizi ndio wanajitahd kuzipa shape nzuri.
Itakuwa C30 hiyo. Ndiyo maana ulikaonea na RangeNa zina mwaga moto, kuna kamoja kalinitoa jasho kalikuwa sijui kama mazda gani na mie nilikuwa na Range Sport ya kutumwa aseee, ila nilikakomesha hakuja nione tena hadi naingia kidimbwi beach ππππ.. tuliachana Shinyanga pale
Volvo wana kawaida ya kutotoa matoleo ya magari yao mara kwa maraUzuri na ubaya wa kitu upo kwenye macho ya mhusika.
Kwa sura hiyo hiyo ilishinda tuzo ya Motor Trend's SUV of the year kila mara Volvo walipotoa toleo jipya. Hadi sasa kuna matoleo mawili tu: la kwanza 2002-2014 na la pili ni 2015-to date.
umesoma ulichoandika. Kumbe spear zipo ila bei haishikiki. Halafu alitegemea nn kununua gari la 2010?Wadanganye wadau hivyo hivyo,Kuna mwana alitaka kuagiza Mazda CX-9 ya 2010's ni jamaa wa huko igunga tukamshauri chuma ya kuendana na mazingira yake akakata ushauri...
Hahah ujuaji ni Jambo hatari Sana.umesoma ulichoandika. Kumbe spear zipo ila bei haishikiki. halaf
alitegemea nn kununua gari la 2010?
mm ninachozungumzia ni upatikanaji wa spear. sio bei
kwann ununue gari ya kisasa na unakaa maporini? hizo ni bad choice za muhusika.
kama ww huwez kuhudumia gari.. haimaanish wengine hawawezi. nunua gari ya uwezo wako.
ukiwa mjini na una mbumba.. hata spear online wanaagiza regardless bei.
Mimi imenivutia zaidi pale nyuma..[emoji38]Hahah Ina kasura kake flani hivi ka private.
Kwa tech ya seat belt ndio ilishika first safety car au kuna technology zingine humoNa Volvo ndio waliovumbua hizi seat belts tunazotumia sa hivi,waliziwekea patent ila baadae wakaacha ziwe free kwa co. Zote za utengenezaji magari ili watu wawe salama garini.
Mimi navutiwa sana na show ya mbele kwa matoleo ya kuanzia 2015. Yaani ni π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯Mimi imenivutia zaidi pale nyuma..[emoji38]
Zaidi ya hizo mdauKwa tech ya seat belt ndio ilishika first safety car au kuna technology zingine humo
Hahahaha uzuri wa ndaniDemu hata awe mtamu vipi, kama reception mbovu hata pata mashambulizi ya maana.. apata wale wazee wa kuzingatia vigezo vya ndani sana πππ
Ile ni XC60 tena ulikutana na T5, ungekutana na T6 ungejua hujui labda RR yako iwe Super charged.Na zina mwaga moto, kuna kamoja kalinitoa jasho kalikuwa sijui kama mazda gani na mie nilikuwa na Range Sport ya kutumwa aseee, ila nilikakomesha hakuja nione tena hadi naingia kidimbwi beach ππππ.. tuliachana Shinyanga pale
Nina wadau wako Songea wana hizi gari, mwingine yuko huko huko Sumbawanga,Katavi wana hizi gari miaka kadhaa sasa. Information is power, spares wanapata ndani ya 12 or 24hrs.Gari hizi tembelea jijini
Usigejichanganya upo zako sumbawanga na wewe unataka kuimiliki unaweza kua na pesa na spare usipate,unaweza kuwa na spare na fundi usipate au unaweza pata fundi anarekebisha hiki anaharibu hiki.
boss uwezo wetu tulio wengi ni kuagiza hizo za kitambo ndio sababu unaona IST za 2002-2005 ni nyingi zaidi TZ kuliko za miaka ya mbele.Hili la kitambo sana