Hao utakao wafahamu ni majeshi kunogaNi rahisi sana boss. Hii ni kazi yetu na tuna uzoefu mzuri wa kuwabaini Askari kwa sentesi zao chache na mwonekano. Lakini pia sio mbaya watanzania wengine wakinufaika na ofa hii iwapo watajiongeza na kuchangamkia fursa.
'Ungeweka elimu zaidi au sheria inayokataza kampuni kutotangaza ofa zake kwa watumishi kutoka tasisi kama hii.'Hatuoni kama ni dhambi kwa sisi kama kampuni halali ya kitanzania kuonesha mapenzi yetu ya dhati ya kuhudumia umma wa watanzania na haswa hawa ndugu zetu boss. Labda kwa kutusaidia tusiendelee kwenda kinyume na kanuni au taratibu za taasisi kwa watumishi wake, ungeweka elimu zaidi au sheria inayokataza kampuni kutotangaza ofa zake kwa watumishi kutoka tasisi kama hii.
Aseee..so target yako ni wajeda?
Ungeweka na picha ya gari wazipendazo walinda amani wetuKwetu kila mtu ni wa maana sana, kwanza tunaomba kufaham Policcm ni kundi lipi mkuu?
Sio kila aliyeko hapa yuko Dar, weka maelezo yote muhimu hapaUsd 300 ni mfano tu boss kutegemea na thamani ya gari. Inaweza kua pungufu ya hapo au ikazidi hapo boss. Kwa sasa hili punguzo ni maalumu kwa kundi hili, zaidi waweza kutupigia sim au kufika ofisini kwetu
Gari aina ya Lexus RX 350 yenye injini ya Toyota Harrier aina ya 2AZ yenye Cc 2400 inauzwa kwa gharama nafuu ya Tsh 28.5M ambapo ukienda showroom gari kama hii ni 35M.
Imetembea kilomita 65,000, haijasajiliwa na ukilipia tutakufanyia usajili. Gari iko vizuri sana na kila kitu kiko sawa.
Zaidi piga simu namba 0746 267 740.
View attachment 1290513View attachment 1290514View attachment 1290515View attachment 1290516View attachment 1290517View attachment 1290518View attachment 1290519View attachment 1290520View attachment 1290521View attachment 1290522View attachment 1290523View attachment 1290524View attachment 1290525View attachment 1290526View attachment 1290527
Daaah nimeona pajero pale pembeni nimechanganyikiwa...
Hatujataka kuuza bei ya showroom kwa sababu sisi ni Waagizaji na tunaridhika na discount tunayopewa na kampuni washirika wa Japan, hatujajikita kwenye kutengeneza faida kubwa kama wengine wanavyofanya.