Tunaaga mwaka 2019 na kukaribisha 2020 kwa kutoa Ofa Maalum kwa watakao agiza gari kama hizi pichani na nyingine nyingine kama ifuatavyo.
Toyota Coaster 1997, Injini 1HZ kwa 47m badala ya 53m
Mitsubishi Canter 1998, Dumper, Injini 4D33 kwa 27.8m badala ya 33m
Nissan Civillian, injini TD42 kwa 34m badala ya 38m
BMW X3 ya 2006, Kwa 21m badala ya 26m
Toyota Vanguard 2010, Cc 2400, seat 7 kwa 25.5m badala ya 29m
Nissan Xtrail 2001 kwa 11m badala ya 13.5m
Toyota LiteAce 1995 yenye Cc 1500 kwa 15.5m badala ya 17m
Toyota Hiace 1997 yenye Cc 2500 kwa 23m badala ya 27m
Toyota Rav 4 ya 2001 kwa 17.8m badala ya 19m
Toyota IST ya Mwaka 2005 yenye Cc 1500 kwa 10.8m badala ya 12m
Gharama hizo hujumlisha CIF yaani pesa ya manunuzi ya gari na usafiri, Ushuru na Gharama za Bandari. Hulipii pesa ya ziada.
Imetolewa na Uongozi wa Kampuni.
Fika ofisi zetu za Dar es Salaam, Mbeya na Dodoma tunafungua hivi Karibuni au piga 0746267740