Mid namhofia sana Wassira, ulisikia jinsi alivyo mchapa makofi Mwenyekiti wa mkoa Ccm Mara?
Halafu zamani akiwa NCCR kuna gazeti liliandika kuwa yeye ni shogaake Mrema wakimaanisha rafiki wa karibu. Mzee akatafsiri shoga ni yale mambo ya Mombasa. Lahaula! Mzee aliingia ukumbi wa habari Maelezo kama Simba au Sokwe (no offense) aliyevutishwa bange! Kizaazaa kile hakijapata tokea tena
Aheri mdhambi asiejua kuliko wewe mnafki , leo unamtaja Mungu
Baada ya kuchungulia kaburi ndio unajifanya kumjua Mungu,
Wewe na mwenzako FaizaFoxy mlikuwa mnaongoza kumshambulia Lowassa kwa ugonjwa wake sasa ndio unajifanya kutuletea mafungu ya biblia, acheni kumdhihaki Mungu yeye ndiye ajuaye mgonjwa ni nani na mzima ni nani.

Wewe mama ni mnafki sijapata ona afya ya Lowassa kwako ndio agenda kila siku unamgonjesha Lowassa kwa kinywa chako leo unajifanya kuongea kipendwa.
Acha unafiki na ujue MUNGU hadhihakiwi apandacho mtu ndicho atakachovuna na utalipwa kwa kadiri ya ulimi wako koma kumtabiria mabaya Lowassa na ilo pepo la unafiki lishindwe kwa jina la YESU KRISTO wa Nazareth.
Get well-soon Magufuli.
acheni umbea mimi nilikuwa mbalizi na hawafiki elfu na pia wale ni makada wa ccm walikuwa wanaigiza ndo maana walikuwa wanazomewa
Sasa hivi ukimuona mfanyakazi wa Serikali hana nyumba ujuwe huyo si mchagga! Kumbuka hilo.
Nimeona video akiwa anapita maeneo ya kabwe kwa kweli ilimpa shida co kitoto coz watu wote vidole viwili juuuu