Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Kwani serikali bado inaongozwa na chama gani kwa sasa? Kama wapinzani wana sera nzuri na mgombea anaefaa mafuriko mbona yapo tuu, hofu ya nini??? Mimi mikutano yote ya Lowasa Mbeya 2015 nilihudhuria na wala sikuambiwa na mtu tishirt nilinunua elf 15 kofia 15 wala haikuniuma,kwa hiyo upinzani mwaka huu mbona kutetemeka kwingi, Kwani kuna wasiwasi nawagombea waliosimamishwa? Mara Magufuli katoa rushwa kununua kuku.. Leo katumia waalimu sms Kwani waalim ni watumishi wa serikali ya chama gani??????
Ukiwa green huwa ubongo unaufyata na tumbo huchukua hatamu sio?Kwani kibaya kitugani? Nini maan ya mualiko? Hakuna mtu aliyelazimishwa kwenda kwenye kampeni ila wao tuu wamealikwa wanamawili kukubali au kutokwenda.vita ni vita, mbona chadema wanawanunulia boda mafuta ya buku mbili hakuna mwana ccm aliyekuja kulalama.
Harafu hii kitu eti na Upinzani umekubaliana nacho. Nchi hii yenye mihela ya kumwaga mpaka kununua mijidege kwa cash tumeshindwa kuwa na staff independent wa NEC?halafu tunaambiwa DED ni msimamizi wa uchaguzi.
Inajulikana tangu 2017 mlikuwa mnawanunuaHuyu naye amevutiwa na nini kama JPM amepoteza mvuto?View attachment 1557541
Wanamfuatilia ili iweje ?Sasa si ungeofuyta hiyo namba,waalkiamua kuifustilia si watampata?
Tumeona pale shinyanga na tumelinganisha na nyomi aliyokusanya jpmWanakuja wenyewe kufuata sera nzuri
Au ndo chadema mnavofanya! maaana mshajulikana mnachoma ofisi zenu wenyeweMgombea wa Urais wa CCM ndg John Pombe Magufuli, leo mchana alikuwa Shinyanga mjini. Baada ya hapo kesho tarehe 4/9/2020 atakuwa Simiyu akipitia Maswa...
Magufuli aliahidi 2015 ataboresha maslahi ya wafanyakazi. Hakutekeleza ahadi hiyo. Uungwana unahitaji aombe radhi halafu aeleze atakavyorekebisha makosa hayo.Kampeni lazima afanye hasa ukitilia maani kuwa kuna watu kama wewe na akina Lissu ambao hamkubali kuwa wanayosema CCM wameyafanya. The strategy here ni kuyasema as many times as possible ili yawaingie na muamini kuwa waliyafanya kwani kwa macho hamtaki kuyaona, labda kwa masikio MTASIKIA. Pia ni kwa nia na lengo la kuwaeleza hawa DIASPORA NA WAKIMBIZI WA KISIASA kuwa kuna mambo yamefanyika na mengine mapya yanawekewa mikakati ya utekelezaji kama ilivyo kwenye CCM MANIFESTO or ILANI ambayo in your liking that is the Strategic Document from CCM Party Strategists.
Wewe sio mfuatiliaji. CCm technologia inawaumbua sana safari hii, haujaona barua ya VC wa UDOM akilazimisha wafanyakazi kwenda kwenye ufunguzi wa kampeni za ccm? Robert Amstadarm kasema ana compile ushahidi...... unadhani watu hawajui maouvu yenu? mtakomaKwani kibaya kitugani? Nini maan ya mualiko? Hakuna mtu aliyelazimishwa kwenda kwenye kampeni ila wao tuu wamealikwa wanamawili kukubali au kutokwenda.vita ni vita, mbona chadema wanawanunulia boda mafuta ya buku mbili hakuna mwana ccm aliyekuja kulalama.
Sasa si ungeofuyta hiyo namba,waalkiamua kuifustilia si wat
Nyuma ya pazia siyo mwaliko, ni shuruti...!!Mbona ni mualiko, kuna tatizo gani sasa
Kasi gani ya kuongeza WASANII WA BONGO FLAVER???? Hahaha kujisifu kote kule hadi wasanii ndo watu wajae???? MbutaaaaKwa jinsi Magu anavyoshika kasi ndivyo huko ufipa wanazidi kuwehuka.
Kwani Tatizo liko wapi hapo?
Kwani vyama vingine vinashindwa kutuma text za Namna hiyo?
Kwani kwenda kwenye mkutano nikosa?
Kwani Kila anaeenda kumusikiliza mgombea Fulani lazima ndo aje kumpigia Kura?
Leta ushahidi wa kuwepo mahudhulio ndugu otherwise nitakuona Kama mpiga Domo tu Kama wapiga domo wenzio.Soma maelezo kwa ufasaha, utaelewa. Nyuma ya pazia wala siyo mwaliko bali ni lazima na utakuta na daftari la mahudhurio...!
Tatizo lako inawezekana huijui serikali hii inayoongozwa na CCM chini ya Pombe Magufuli. Ni ya kishenzi na ubabe mtupu...!!