Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Hivi hawezi kuwatrace hawa manjagu akawaadabisha kwa kumpiga tanganyika jeki 'muheshimiwa' kama ambavyo Meko amedeal na wote waliowahi kumpa shit akiwa bado kidampa?
Hahah hua nna wasiwasi sana na hatma za hao jamaa mpk leo,ukute alishawapiga figisu figisu wakatupwa vituo vya kazi huko maporini.
 
Lizee halilali kabisa linapata shida sana litapigiwa kura na mabarabara
 
Si mtoto was kiislam huyu ilikuwaje akavuliwa ushungi na miwani maana naambiwa mtu anayetakiwa kuona nywele ni mmewe peke yake sasa DAB ilikuwaje akaona nyweleeeee... Haya mambo banaa
[emoji12][emoji39][emoji3059]
 
Ccm hatupigi kampeni. Tunasherehekea miaka 5 ya mafanikio. That's why unaona wasanii hao
 
Wadeni wa lissu wakaondoa ulinzi katika maeneo ya viongozi yanayolindwa 24/7?Wadeni wa Lissu wakazuia uchunguzi!Wadeni wa Lissu wakamnyima haki yake ya kugharamiwa matibabu!Wakampoka a ubunge!
Kweli wadeni wa Lissu wana nguvu!
Well said my friend....[emoji106][emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…