SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Mwenzao anapinduliwa yenyewe yapi tuu.

Shida zote hizo anapata Iran ni kutetea Wapalestina.
Dunia haipo hivyo.. Utakua mpumbavu na upuuzi wa mwisho kwa dunia ya leo kutegemea kupata support kwa mgongo wa dini...Wewe kisa uko dini fulani au upo jirani na mtu fulani utegemee msaada wa jamaa yako wa dini/jirani fulani hata kama huna msaada wowote kwake, dini ni wewe na Mungu wako..Watu wanajali maisha yao.. Vitu vinavyoweka ushirikiano wa kudumu maishani ni kazi zenye win win situation sio usela au udini..
 
Hili suala la anga ya Iran kuzingirwa si kweli..
Iran ina ADs za kutungua ndege, kuna uwezekano hizi ndege zipo lakini zinapita mipakani..
Mashambulizi wanayofanya ni stand off strike, tuseme mtu anapita na ndege Mtwara, anaachia missiles ambalo ni guided missiles na kupiga targets za ndani..

Lakini hawana control ya anga ya Iran...
 
Usiku hayatoi mwanga au😂😂😂
Yakiruka kutoka kwenye launcher hutoa miali na kisha huwa kimya safarini, lakini yakifika umbali fulani kulenga target huachia kikoti chake cha engine na kurudi duniani kichwa kwenda kwa mbele kusalimia target.

Hata hivyo haya yote Israel imetoa taarifa mida khii kwamba yamedunguliwa na ADS.
 
Uyu mwanamke nayeye wamfunge kwenye Kombora Wamrudishe Telaviv kukaa kaa na watoto wawatu unaweza kupewa kesi!!!!

Lkb wadau tuseme Kweli awa Waisrael Waongo sana yani ukiangalia Miji Tehran wamekufa watu 200+ lkn mji uko oky kabisa!!!

Sasa njoo uku ISRAEL mji umekuwa kama GAZA lkn vifo wanadai 22 tu!!!¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿
 
Netanyahu.
Achana na makamanda waliokufa.Fikiria watu waliojisifia kuwa na ulinzi wa anga kupigwa hivyo hadharani.
AA
Nimekuelewa
 

Humu uwongo ni mwingi sana🤣🤣🤣. Unawezaje kuzingira anga kwa nchi kama Iran.hata Tanzania yenyewe hakuna wa kuweza kutuzingira ndo iwe Iran
 
Shelter ndugu angu kama unataka taarifa zaidi nenda Iran kufanya utafiti uwe eliminated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…