100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Tibriz ipo mpakani kama karibu na Armenia, Azerbaijan na Iraq, watu wanakuambia anga lote la Tehran lipo wazi..Propaganda za miaka ya 90s ndio mnatuletea
Al Jazeera ndio Kwa mara ya Kwanza wanapost kua kuna uwezekano F 35 moja imedunguliwa nao wanasubili confirmation kwenye media za Iran
Haya nyie tuelezeni izo nne mmezitoa wapiView attachment 3371948
Hahaha ila we jamaa kila comment yako nikisoma nacheka mpaka mbavu zinaumaTrump cuts short G7 trip over Middle East tensions as Israel and Iran exchange fire
Blasts have been heard in Tehran and sirens have sounded in Israel as US president convenes National Security Council.www.bbc.com
Mpango upo palepale mzee Ayatoulah lazima alazwe makaburi ya kisutu msimu huu kwa kipupwe
Viirani Bado havina akiliSidhani kama IRAN inamtu hata mmoja mwenye akili! Israel inashambulia sehemu muhimu na watu muhimu wao wanaang'aika kupiga vighorofa vya Tel aviv ambavyo myahud ata-vijenga mwez mmoja tu.Imagine mpaka mkuu wa majeshi anauliwa!!!!
anga la Iran lipo uchi myahudi anajichapia tu nyuma/mbele kalichapa mpaka wananchi wameona live kwenye TV ya taifa kuna nini tena hapo.Mifumo ya ulinzi Bado inafanya kazi japo inawezekana sio Kwa uimala ulio takiwa either kuna hujuma within ni kama nao wanashangaa what happened
Nazani Iran ana homework ya kufanya kwenye ulinzi wa Anga
Vita itakua ngumu zaid kwa Israel mifumo ya ulinzi ya Iran ikianza kufanya kazi walau kwa asilimia 80Tibriz ipo mpakani kama karibu na Armenia, Azerbaijan na Iraq, watu wanakuambia anga lote la Tehran lipo wazi..
Kama stealth F-35 inaliwa kichwa hakuna usalama hapo..
Hivi vishalipuliwa jana havipo tena
Hivi vyuma leo ndio vinaanza kazi rasmi...
Israel inatetema leo..
Netanyahu ni kiongozi mkuu lazima ataleta siasa za propaganda na udanganyifu ili kupooza taharuki kwa anaowaongoza.Kati ya Wewe na Netanyahu Nani tumuamini kwa wewe inavyo ona???
Vita vya ma kanjibai ilikua na kuogopana sanaHizi ndio vita sio vita ya India na Pakistan
picha unayo?Hivi vishalipuliwa jana havipo tena
Kwa kinachoendelea hapa kupata taarifa Israel itakuwa ngumu.Tibriz ipo mpakani kama karibu na Armenia, Azerbaijan na Iraq, watu wanakuambia anga lote la Tehran lipo wazi..
Kama stealth F-35 inaliwa kichwa hakuna usalama hapo..
Shekh izi taarifa za 5000+ mbona namba kubwa sana ndio tunajua kuna upishi wa taarifa lakini sio kwa kiwango hiki hapanaNetanyahu ni kiongozi mkuu lazima ataleta siasa za propaganda na udanganyifu ili kupooza taharuki kwa anaowaongoza.
Mfano mdogo alidanganya wanajeshi waliouawa ndani ya Gaza ni 230+ kumbe ni 5000+.
Majeruhi alisema hawazidi 1000.
Kumbe sio tu majeruhi bali wanajeshi waliopewa ulemavu wa kudumu ni 12000 wa Israel.
Netanyahu ndiyo kwao huko! Hilo tangazo linamhusu.
Israel hawawezi omba poo kwa Iran,propaganda, Israeli ndio waliomba ceasefire..
sizani kama ulikua unaona propaganda za iran, ziangalie alafu linganisha na kinachowatokea saa hii ndo utaelewa ninachosemaBasi upo nyuma sana ya muda unatakiwa ujue hakuna mtu asiyepigika mfano mdogo hapo urusi kila siku anapigwa mpaka moscow na muyukrein ambae hana hata ndege ya maana wala silaha ya maana sembuse israel anayetumia kila aina ya silaha tena ni first class weapons,
Kwa sasa hvi hata mmarekani asijichanganye kwa wahuni wanampiga pale pale washington