Acha upumbavu China aingilia vita ? utakuwa unaumwa mav na story zako kijiweni ... bado siku mbili nyie waarabu koko wa maji mtayaita mma !Katika habari zote zinazonichanganya ni mbili tu.
-China kuwatangazia raia wake waondoke Israel tena HARAKA IWEZEKANAVYO.
-USA kuitisha kikao.
Sanasana hiyo ya China.
Nahisi Kuna kitu kikubwa kinakuja kutokea Israel.
Pia Iran kupooza kimashambulizi tusichukulie kindezi HUWEZI jua Iran ina mpango gani.
Hii habari wizara ya mambo ya nje ya Iran imekanusha
Hizi ndio propaganda zenyewe sasa.
China ina mkataba wa kulindana na Iran.Yanayokuja kutokea sio mazuri hata kidogo.
China imetangaza pia raia wake waondoke Tel Aviv upesi sana.
Naona vita inaenda kusambaa hapo mashariki ya kati.
Israel wamefunga mitandao, na waandishi habari popote watakapokuwepo wanakamatwa.Kumekucha!
Mithenge ya Kizayuni itaanza kutubonda sio muda.
Ayatollah, the fuckkkxxx going on?
Mimi wa kukosa cha kupost hadi muda huu, seriously!?
OhoooTunakosa update kwa sababu hii
Huwa siongeagi na psychopath.Acha upumbavu China aingilia vita ? utakuwa unaumwa mav na story zako kijiweni ... bado siku mbili nyie waarabu koko wa maji mtayaita mma !
Aje sasa mbona hatumuoni. Ajae na yeye kwenye mfumo. 😆😆 ila kobaziChina ina mkataba wa kulindana na Iran.
Ni vita ambayo haina sababu.Kiburi cha Marekani na Israel kinaelekea mwishoni.
USA huko wanasema Trump Jana usiku amerudi USA kwa haraka sana akiitisha kikao.Israel wamefunga mitandao, na waandishi habari popote watakapokuwepo wanakamatwa.
Kuanzia sasa tambua kuwa hautopata taarifa yoyote kutoka Israel, zitakazosikika ni kutoka Iran tu na propaganda nyingi kama jana alizozungumza Netanyahu.
Kipimo cha Israel kuelemewa kipime kwa USA jinsi atakavyo react. Hilo ndilo jibu sahihi Israel ipo kwenye hali gani!
Kwa ufupi, Israel ameshashindwa hii vita. Ndani ya siku 3 tu ameshachemsha. Ikienda wiki 2 mfululizo hakuna nchi ya Israel pale.
Jitahidi kutumia akili yako vizuri jiulize wewe mwenyewe jeshi la anga la Iran liko wapi! Jiulize kwa nini hajaonyesha upinzani wowote kwa majeshi ya anga ya Israel? Kama utashindwa kujibu maswali hayo basi Ubongo wako una matatizo ya kuzaliwa.Hizo propaganda na inatakiwa utumie ubongo kufikiri bro.
Tangu Ijumaa Israel ilitangaza kutawala anga la Iran,matokeo yake Iran ikarusha drone na makombora kuelekea Israel.
Muda mwingine tumieni akili msiwe kama chujio maji yanapita tu.
Acha kuongopea watu.labda Iran wa BuzaIran kaomba sizifaya (ceasefire) na kurudi meza ya mazungumzo.
Hili ni jambo la busara zaidi ila naliona kama vile kwa ilipofikia Israel ataona kwenda kwenye mazungumzo ni kupoteza muda na fursa ya kupata sulihisho la kudumu kwa tishio lake kuu mashariki ya kati. Akiiondoa utawala wa Iran ameua makundi yote ya anaowaita magaidi kwake
Hii vita sio nyepesi mkuu.
Israel hakutegemea kama angekutana na uzito kama huu.
Russia Hana uwezo wamemtenga sasa utamkili YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKO KILAZIMA IRAN anaangushwa chap Kisha Israel anaangalia Taifa la Islamic lingine lenye nguvu lengo tunataka amaniYani unavyoongea inaonesha hakuna unachojua mzee.
Hizbollah ilipoanza kutumia long range missiles US na France official walienda Beirut kuishinikiza serikali ya Lebanon wawashurutishe Hizbollah wasaini makubaliano ya kusitishwa vita na kuweka silaha chini.
Hizbollah ikafanya hivyo.
Yemeni juzi walirusha makombora Israel kama haujui ndio kisa Cha Israel kuzidiwa zaidi kwenye kudungua makombora.
Syria hapo kutokea anguko la Assad ilikua lazima na alishashauriwa a step down muda sana.
Russia huko amebeba maeneo yote yenye utajiri Ukraine na sasa anaelekea Kyiv.
Wewe unasema kadhoofishwa.
Na Bado ana uwezo wa kutoa silaha popote pale.
China imetangaza raia wake waondoke upesi sana Israel.
Tarajia mambo kuwa magumu zaidi.
Hufuatilii vizuri habari ndugu, toka jana anga la Tehran limedhibitiwa na IsraelHizi ni propaganda za mashog,a kama kawaida yao.
Netanyahu anakabiliwa na kashfa za ufisadi nchini mwake hivyo lazima aeneze propaganda ili kuwatuliza wananchi wake maana muda mrefu walikuwa wanaandamana wanataka aachie ngazi.
Yaani utawale anga la Iran halafu ushindwe kuuondoa uongozi wa Iran?
Utawale anga la Iran huku ukilalamika Iran anauwa wanawake na watoto huko Israel?😆