Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Ni kweli hiyo Inasikitisha sana Iran lazima atalipa kwa njia moja au nyingine huyo ni raia!!!Mayahudi yalijua leo watakuwa na mchana kama MICHANA mingine!
Naaaaaah, burn madafakaz!!!
View: https://x.com/MonitorX99800/status/1934861576277742060
Ebu toka hapa na dela lako.Ni kweli hiyo Inasikitisha sana Iran lazima atalipa kwa njia moja au nyingine huyo ni raia!!!
Kuna vituo vya Nuclear huko Israel kwa nini asilenge hivyo?
Trump anajua akisema hadharan kuwa US inaingia Vitani na Iran hilo jambo litaamsha maandamano makubwa kuliko haya ya Los Angles tatizo Us liko kwa Raia hawataki Inchi iingie vitaniRaia wa US wanaanza kuamka. Wanahoji hali ya maisha kwetu ni ngumu! Israel ni nani kwenye nchi yetu hali ya kuwa sisi tuna matatizo lukuki?
Sasa hili linawaogopesha sana wanasiasa kwa sasa.
Na raia wengine wa US wamefika mbali, wanataka wale wote wenye uraia pacha na Israel wasiwe kwenye nafasi za juu kwenye serikali yao! Wanawaona wanatanguliza sana maslahi ya Israel kuliko maslahi ya US.
Wewe toka hapa na Juba lako wapiga propaganda ni lazima wafe tu maana ndiyo waliotufikisha hapa kwa Propaganda zao!!Ebu toka hapa na dela lako.
Jana hamjashambulia kituo cha habari nyie, hakukuwa na raia kwenye lile jengo!?
Urusi hawezi muuzia silaha Iran sababu vita itakuwa kubwa zaidi na USA na allied wa ulaya watapata sababu ya kumsaidia IsraelDawa ya hio midege ni hii.. Marekani kampa Ukraine hi midude na Russia ameyaokota ya kutosha baada ya wana jeshi wa Ukraine kukimbia na kuyaacha front line.
Tehran aongee na Moscow vizuri. View attachment 3372436
π€£π€£π€£π€£ Uchambuzi wa ajabu ajabu sijui mnatolea wapiUrusi hawezi muuzia silaha Iran sababu vita itakuwa kubwa zaidi na USA na allied wa ulaya watapata sababu ya kumsaidia Israel
Chuki humla anayeitunza.
Wavaa makobasi ukiwasikia sasa utadhani wanajua chochote.
Wameshadadia Hamas
Wakasema Hezbollah siyo hamas
Leo wanasema Iran siyo Hezbollah.
Kiufupi hawa watoto wa iran wamekalishwa chini kwa kichapo hawana hata hamu ki ufupi wapo ICU
Ukiongozwa na chuki mwisho wa siku itakutafuna.
Ndio ukweli au we tupe sababu kwanini china na urusi hawatoi hata vifaa vyao kwa Iranπ€£π€£π€£π€£ Uchambuzi wa ajabu ajabu sijui mnatolea wapi
Chogo kama mwiko!Wewe toka hapa na Juba lako wapiga propaganda ni lazima wafe tu maana ndiyo waliotufikisha hapa kwa Propaganda zao!!
Hakuna jipya hapo,mbona Marekani alikuwa wakwanza kuwaambia Raia wake waondoke kabla hata vita havijaanza wakafuata UK na Ufaransa.Hizi taarifa za jana na leo.
Russia na China wanawaasa raia wao waondoke Israel haraka sana.
Mbona kwenye shambulizi la Hamas hawakuwaasa waondoke??
Nahisi Kuna jambo linakuja kulipuka soon hapa kudadeki.
View attachment 3372513View attachment 3372515View attachment 3372516
Misafara ya Tehran ndio inatoa picha nzuri.Ukitaka kufanya analysis ya kipigo anachopokea Israel wala huoati tabu angalia reaction anayofanya USA ndiyo utapata jibu.
Marekani anaweweseka kwa kipigo anachopigwa mkewe.
Wewe endelea kunusa tuu,utanusa mpaka masaburi ya AyatollahMacron kwenye mkutano wa G7 amesema kufanya regime change Iran itakua ni strategical error.
Amelipinga hilo.πππππ
Sasa najiuliza kwanini amepinga mpango wa regime change Iran?
Au amenusa nini?
Hajafa,aliondolewa akawekwa mwingineHuyu mtu alishakufa mkuu, kwani siku hizi unamsikia tena