City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Tofautisha Uyahudi na Zionism, si kila myahudi ni Zionism, Intellectual wengi wa kiyahudi ambao watu wana wataja humu ni Anti Zionist.Unaweza shangaa hata Ayatolah mwenyewe yahudiπ
Nchi kutawaliwa kwa misingi ya misimamonya Kidini ktk Karne hii ya uhuru na utandawazi. Iran need reign changeKwa kosa lipi?
Kutoka makombora 300 hadi 10 πππTaarifa imetolewa raia waingie ndani ya shelters kuna makombora 10 ya Iran yametumwa
USA ni mzuri sana kwa Propaganda hasa NYAKATI hizi za vita lengo lake kubwa kumbaisha adui, lakini unakuta hamna Cha maana.Breaking News:
Trumps muda huu amesema kwa sasa Wana control anga la Iran.
Trump ametumia neno "we", kwa maana je US kumbe yumo ndani?
View attachment 3373377
AsanteTofautisha Uyahudi na Zionism, si kila myahudi ni Zionism, Intellectual wengi wa kiyahudi ambao watu wana wataja humu ni Anti Zionist.
Zionistm haina tofauti na Nazi, Fascist na wengineo.
Inawezekana pia lakini Kuna udhaifu kwenye jeshi la anga la Iran.USA ni mzuri sana kwa Propaganda hasa NYAKATI hizi za vita lengo lake kubwa kumbaisha adui, lakini unakuta hamna Cha maana.
Kutoka makombora 300 hadi 10 πππ
iran anatia huruma tenaIran kwa sasa inatia huruma, sikutegemea kama Israel ingeinyanyasa Iran kiasi hiki hasa kwa zile tambo za Iran.
View: https://x.com/Terror_Alarm/status/1935007665958039674
Kama ni kweli hili operation ilipangwa muda mrefu sana
Yeah wangese sanaJamaa hawataki mtu ajitegemee
Yanaelekea kuishaKutoka makombora 300 hadi 10 πππ