SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Jamani Russia ni Majinga mbona hmuelewi??? yale Majinga hayatasaidia kitu menyewe tu yalikua yanasaidiwa na Huyu huyu Iran sasa wote wako kwenye shida.
 
Ayatollah akifariki si kuuawa, kuna wengine nyuma ambao ni bora Ayatollah ana busara..
 
Mkuu hakuna watu wa Hovyo Ambao nao ni zero plus kama Warusi
Kwenye warusi nakukubalia, ni mambulula
Taliban kajipigania mwenyewe mpaka kamvua chupi US, na Kiduku anajimpambaia mwenyewe mpaka mrusi ameomba msaaada kwake
Irani wako tayari kuwa kama taliban lakini hakutakalika humo ndani mpaka watakimbia kama afghanistani....
 
Hivi JW kuna kitu wanajifunza kweli kwenye hii vita,au wameshikamana kwanza na kokoto?
Nchi ya Tanzania hapo unaionea hata Boda boda hatujui kutegeneneza sisi tunawez madude hayo??? usisikie mtu amekaa bonyokwa hana hata maji anasema Iran wajinga ambao wana Bomu wameunda wenyewe linakimbia mpaka Israel kwa dakika 3!!
 
Inaonekana kuna mivutano ya ndani, nadhani kuna ambao hawakupenda idea ya Nyau kuanza kuishambulia Iran, Neta ni mbishi sana, sasa ngoja apate anachokitaka..
Halafu response yake kwa Iran ni kwamba warudi kwenye meza ya mazungumzo na Usa kuhusu Nyuklia, For that reason yupo tayari kuua raia wake huku yeye kakimbia nchi na mwanae anakula Bata miami.
 
Halafu response yake kwa Iran ni kwamba warudi kwenye meza ya mazungumzo na Usa kuhusu Nyuklia, For that reason yupo tayari kuua raia wake huku yeye kakimbia nchi na mwanae anakula Bata miami.
Endeleeni kujidanganya,Netanyahu sio mjinga kuanzisha peke yake vita kubwa kiasi hiki.
 
Libya, Iraq ni washirika wa West ambao kwa muda mrefu either wamepigana proxy war za West ama kusaidia kiuchumi. Usisahau Ghadafi alikua ana sponsor hadi uchaguzi Ufaransa. Ghadafi angetumia Mali zake kwa warusi wangemsaidia.

na hata Syria wamepinduliwa baada ya kutaka normalisation na West. Assad alivyoanza tu kwenda Saudia kwisha kazi yake.
 
Al Jazeera Kuna baadhi ya images walichelewa kuzipata maana Al Jazeera wanaripoti kutoka Jordan hawaruhusiwi ndani ya Israel.
Wacha nicheki BBC na Fox au CBS news maana wao wako ndani ya Israel kabisa.
Hao akina bbc wanakuletea habari wanayotaka ikufikie na siyo uhalisia wa yanayoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…