SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Chini ya hospital

Chini ya hospital



Hisia kama Bob Marley, ndivyo marasta tulivyo,yaani tunakugusa mtima

Umebaini kuwa haya ni maji marefu eeh,1998 ulikua wapi,kiunoni kwa mzee?
Hapo mi nanunua newsweek na times 2500-3000 meza ya magazeti
Si hata mimi nitakuambia nimeana kusoma Hilo gazeti 1994. Ulikua wapi?
Nani atajua ni kweli au uongo?
 
Sina deni na Ayatollah, hata akifa leo.

Nimeweka picha yake kwenye avatar yangu nitaiacha hapo kwa miezi miwili.

A real man and a true friend, he choose to die over others not for his own interests.
I agree with you. He is our leader, a true patriotic leader. Other Arab leaders are all cowards and hypocrites...
 
Ila jamani hii ni aibu ya karne. unapoenda kuanzisha ugomvi halafu wewe ndio unakula kipondo cha mbwa... Iran ni namba nyengine
 
Kupindua uongozi uliopo, lazima watu wapoteze maisha na miundo mbinu ichakae; uongozi uliopo Iran utatolewa, haijalishi wanakufa wangapi au majengo mangapi yatapotezwa.

Rejea Iraq, Libya, Afghanistan n.k​
Unajidanganya.
Hao raia wenyewe wa Iran wanaiunga mkono serikali yao.
Serikali Bado iko imara na imesema inataka iendelee na vita.
Nikukumbushe tu kaka,Iran iliwahi vamiwa na Iraq ikisadiwa na USA,France ila Iran ilidinda kwa miaka 8 hadi wakakaa mezani.
Huyo muajemi achana naye ni nyokoo.
 
Si hata mimi nitakuambia nimeana kusoma Hilo gazeti 1994. Ulikua wapi?
Nani atajua ni kweli au uongo?
Nikudanye Ili iweje?..ila nayashukuru yaliniimarisha kilugha na upeo wa siasa na uandishi nikiwa teenager

Issue moja ya times/newsweek ilikua na title 'talibanistan',hii ilikua 2007, Taliban walianza kurudisha maeneo taratibu
 
Na unaambiwa wanalala wengi humo,haishangazi makelele ya leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…